Mwanza City: The Photo Gallery

Kaletwa mlamba asali utakuja kuona jinsi miradi itakovyosua na mwanza itakavyo stuck. Anaitwa Malima
Samia ,,,ana hofu sana na mentality ya sukuma gang.....anataka watu submissive kwake.kiongozi akifanya kitu cha kuziba umaarufu wake anapigwa chini ..mtaka kapelekwa njombe baada ya kufanya outstanding Dodoma ..
 
Lakini uhitaji wa madarasa bado ulikuwa mkubwa na pesa zilikuwa hazitoshi naye katumia busara kuanzisha kampeni ya ujenzi wa madarasa.
Rais ni taasisi , inawezekana washauri wake ndo wameamua hvyo
 
Samia ,,,ana hofu sana na mentality ya sukuma gang.....anataka watu submissive kwake.kiongozi akifanya kitu cha kuziba umaarufu wake anapigwa chini ..mtaka kapelekwa njombe baada ya kufanya outstanding Dodoma ..
Ila huyu Mwamba alikuwa halali kwenye kuinua uchumi wa Mwanza nazani hii yote ni kwasababu alikuwa ni mzalendo wakweli wa mkoa wa Mwanza nazani huyu atakuwa ni mwenyeji wa hii kanda yetu ya ziwa.
 
Kama mlikuwa hamjui hii miradi ya soko pamoja na stendi zilikuwa zimesimama kwa miezi mitatu serikali iligoma kuleta pesa mwanza kukamilisha miradi lakini huyu Mwamba alijitoa mhanga kupambania pesa zije miradi ikamilike mungu ampiganie huko aendako๐Ÿ™๐Ÿ™
Rais ni taasisi , inawezekana washauri wake ndo wameamua hvyo
 
Ndo hvyo tena
 
Ila huyu Mwamba alikuwa halali kwenye kuinua uchumi wa Mwanza nazani hii yote ni kwasababu alikuwa ni mzalendo wakweli wa mkoa wa Mwanza nazani huyu atakuwa ni mwenyeji wa hii kanda yetu ya ziwa.
Jamaa ni msukuma Pure, nimepata taarifa zake huku nilipo kwasasa (kikazi)

Ni mzaliwa wa Tarafa ya Itwangi kata ya Itwangi wilaya ya Shy DC njiani kabisa ukitokea Tinde Kama unaenda Kahama!
 
Ila huyu Mwamba alikuwa halali kwenye kuinua uchumi wa Mwanza nazani hii yote ni kwasababu alikuwa ni mzalendo wakweli wa mkoa wa Mwanza nazani huyu atakuwa ni mwenyeji wa hii kanda yetu ya ziwa.
Ni wa hapo hapo kanda ya ziwa! Sasa tumeletewa mswahili mwenye kiburi na maneno mengi Malima! Bora Mtaka angekuja mwanza ila Malima big No!
 
Habari za chini ya kapeti eng.Robert Gabriel kaondolewa kwa mambo makuu matatu kama yafuatavyo
1. Kupiga simu kwa waziri mkuu kwa kila jambo linaloendelea Mwanza, bila kumtaarifu aliyempa ulaji mfano madudu ya kwenye ujenzi wa meli wa mv mwanza hapa kazi tu, pamoja na muendelezo mbovu wa daraja la kigongo busisi.

2.Kwanini anapokuja Rais samia Mwanza wananchi wanakuwa wachache na shamrashamra zinakuwa kidogo kuliko jinsi Kasimu majaliwa alivyopokewa kwa shangwe na wananchi wengi walijitokeza kuja kumsikiliza.

3. Kampeni ya kujenga madarasa 11000 kwa nguvu ya wananchi hapa kinamdhalilisha rais kwani hela za covid 19 za kujenga madarasa hazikutosha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mh...
 
Adam Malima huwa naona kapoa sana. Kwa Mkoa kama wa Mwanza tunahitaji RC mwenye kuweka headlines angalau mara moja au mbili kwa wiki.
 
Hili eneo mijengo ya maana inaitajika view yake imetulia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ