Kuna maeneo unayaona yapo idle lakini yameshikiliwa na Taasisi kubwa, ndio maana hata wale wazee wa kambi popote hawatii miguu.Kama hilo eneo la Wacatholic lao lipo Kirumba/ Ibanda. Planning ni kujenga chuo kikuu cha afya hapo pamoja na hostels.View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Nera hadi clinic ,ni eneo la mradi wa wafinland ,,,tampere park ...city council wanasubiri pesa za ufadhiliiView attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Maeneo kama haya yapo mengi luchelele na Nyegezi ,na Butimba,,kuna eneo limeshikwa na magereza pamoja na jeshi la wananchi eneo la Butimba karibu na Nyegezi ufukweni mwa ziwa...pako vizuri sanaView attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Ila pia maeneo yakiachwa kwenye uasili wake yanavutia kuliko yakijengwa kiholela.View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Kaka mimi naona hili eneo kwa jinsi lilivyo libaki hivyo hivyo, sana sana wapande miti kwenye hiyo milima.View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Hii ni ya hivi karibuni. Naona mkoa unakwama sana kwenye suala la utalii wa ziwa na fukwe zake, pia upande wa milima. Mwanza ina fursa nyingi sana zinazotokana na ziwa ukitoa uvuvi.Sijui video imechukuliwa lina ila inaonekana ni recent maana kona ya mwaloni naona kuna traffic lights, hapo kabla hazikuwepo.
Street lights kutokea Airport naona zinasongea ingawa safari bado ndefu kufika City centre.
Private sector ipewe nafasi katika hili suala...Hii ni ya hivi karibuni. Naona mkoa unakwama sana kwenye suala la utalii wa ziwa na fukwe zake, pia upande wa milima. Mwanza ina fursa nyingi sana zinazotokana na ziwa ukitoa uvuvi.
Hapo safi mwanza yetu inazidi kupendeza!Maendeleo ya stendi ya Nyegezi
Mitaa yote? Nata naona wamefunga traffic lights piaCity center zimefungwa taa mpya za solar mambo ni mukide๐ฅ
Good moveCity center zimefungwa taa mpya za solar mambo ni mukide๐ฅ
Hii barabara ya kenyata kuanzia stand ya igombe kwenda makao makuu ya ccm na nyerere roadMitaa yote? Nata naona wamefunga traffic lights pia
Mbona taa zimekuwepo toka mwaka jana hapo city centre..kuanzia pamba road,Rufiji road, uhuru,lumumba,road.Hii barabara ya kenyata kuanzia stand ya igombe kwenda makao makuu ya ccm na nyerere road
Kuna video nimeona ni ya jana tu, hakuna taa mpya,, zote za zamani labda wamezitengeneza ziwakeMbona taa zimekuwepo toka mwaka jana hapo city centre..kuanzia pamba road,Rufiji road, uhuru,lumumba,road.
Yes hizo barabara zinawaka ila ya kenyataa kuelekea kemondo zilikua zimeshaunguaMbona taa zimekuwepo toka mwaka jana hapo city centre..kuanzia pamba road,Rufiji road, uhuru,lumumba,road.
Kuna watu humu najua hamko mwanza ,,,,... mimi nimetoka mwezi wa nne ... kuhusu taa city centre zimewekwa bado kibamba mkurugenzi..taa za airport ziliwekwa bado Magufuli akiwa hai.....kitu kipya kilichofanyika ndani ya miezi miwili nyuma ni trafiki right Mwaloni,na Nyakato sokoni na pale nata.Kuna video nimeona ni ya jana tu, hakuna taa mpya,, zote za zamani labda wamezitengeneza ziwake
Maendeleo ya stendi ya Nyegezi
Mbona Kama kinaelekea kukamilika na mpaka sasa, baadhi ya wanafunzi wameshahamia huko.Mkuu huu UJENZI bado unaendelea ?