kweli kabisa na ndio maana nikakimbia kwetu Arusha nikaja huku mwaka 1997 nilichanganyikiwa nilivyokuta napewa chai na kitafunio na samaki kwa wenyeji wangu nilikoshukia wasukuma.Zaidi ya yote nilitoka kule kilo ya nyama ilikuwa 1200 wakakokuita Arachuga sasa hivi kuja huku nikakuta kilo ni shillingi 500 ila nahisi kuna shida flani ilitokea ya ukame.Kuona hivyo nikamleta mke wangu hadi leo kule R chunga nakwenda kusalimia tu huku kwa kina Ngosha walivo wakarimu siondoki kabisa.
Hiyo ya kiseke ilifadhiliwa na pesa za maendeleo ya jiji, ila hii ni kutoka serikali kuu inawezs isiwe nyembamba but quality yake inaweza kua ndogo kidogo