Eneo lingine ni kuelekea igombe ... sijui kwanini hawaweki lamiHili eneo kuelekea airport pakifanyika uwekazaji mkubwa kwenye fukwe hii na kwenye kilima kinachotizamana na uwanja wa ndege patakuwa pamoto sana.
View attachment 2280050View attachment 2280051View attachment 2280052View attachment 2280053View attachment 2280054View attachment 2280055
Boss picha ya tatu Duplex hujazitendea haki kabisaa 😀 😀 😀 😀Hili eneo kuelekea airport pakifanyika uwekazaji mkubwa kwenye fukwe hii na kwenye kilima kinachotizamana na uwanja wa ndege patakuwa pamoto sana.
View attachment 2280050View attachment 2280051View attachment 2280052View attachment 2280053View attachment 2280054View attachment 2280055
Kweli kabisa mkuu, hizo apartments zimeongwza radha ya eneo Hilo. Ngoja tuzifanyie kaziBoss picha ya tatu Duplex hujazitendea haki kabisaa 😀 😀 😀 😀
Arusha view kama hizo hakuna, na hapo ni milimani
Kwan hiz hela wanakopa world bank kila siku ni za nini?Bado wako kwenye proposal ..world bank watoe hela
Mkurugenzi changamotoHaya mwanza kunaendelea hafi raha...
Bukoba manispaa stendi kuu bado inajengwa toka 2020...
Soko liko vile vile....
Barabara Taa haziwaki, kwingine hakuna kabisa...
Barabara ni finyu na chafu..
Yaan nikija mwanza naonaga wivu...sijui bukoba kuna shida gani...mbona miradu haiishi na haitekelezwi??
Miradi mingine inategemea mapato ya ndani ya halmashauri ko kana mapato hayatoshi inabidiri ruzuku toka serikalini ....Haya mwanza kunaendelea hafi raha...
Bukoba manispaa stendi kuu bado inajengwa toka 2020...
Soko liko vile vile....
Barabara Taa haziwaki, kwingine hakuna kabisa...
Barabara ni finyu na chafu..
Yaan nikija mwanza naonaga wivu...sijui bukoba kuna shida gani...mbona miradu haiishi na haitekelezwi??
Za maendeleo kwa nchi maskiniKwan hiz hela wanakopa world bank kila siku ni za nini?
[emoji16][emoji23]Arusha view kama hizo hakuna, na hapo ni milimani
Dahh igelegele & minazi mitatu jirani na ulipo mnara wa Afya radio kitambo sana hapo kwa chini ni igogo,shede na mkuyuni
Panaonekana patamu sana hapa
Hakika mwanza kuna wanaume! Kimya kimya kazi inapogwa kweli kweli!🙏!Hili eneo la nyamhongolo linafaa kupigwa picha za drone maana linazidi kunoga
View attachment 2283305View attachment 2283306
Mwanza kama sio Tz vile...hakika mwanza kutamu.
Hii itakua wapi?, Au pale ilipo stand sasa?Tunaisubiri Buzuruga commercial complex, itabadili sana muonekano wa Buzuruga