Hii haiwez fanyiwa maboresho had ijengwe upya na maeneo yatakayowekea taa mkuyuni,nyegezi corner na buhongwa hayo ndo yako bize sanaNaona barabara ya kenyatta road imesahaulika sana jamani ...na imeisha choka kabisa
Kuanzia mjini sehemu gani maana kuanzia Voil mpaka stendi ya igombe pamebana au watalipa fidia kwa majengo ya watu?Inafumuliwa yote mpaka Shinyanga 104km, 4 ways 25km kutokea mjini mpaka Usagara. Kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi nimesikia ikiongelwa. Ni suala la muda na fedha tu.
Kilichochelewesha ni njia ya kuingilia na kutokea mabasi ndo bado wanakamilisha ujenzi wakeHivi kwa nini hadi leo hii stand ya nyamhongolo haija anza kuoperate huku imekamilika toka mwezi wa 3 kama sio 4 wadau?
Hapo nahis wanaweza anzia voil kuelekea buhongwa-usagaraKuanzia mjini sehemu gani maana kuanzia Voil mpaka stendi ya igombe pamebana au watalipa fidia kwa majengo ya watu?
Pale VOIL ni shughuli, itabidi waatanue njia za milimani hasa Igogo/ Bugando na kulipa fidia kwa sbabu ndio rahisi kwa fidia, inflow na outflow ya magari iwe absorved na njia zinazotokea Bugando Bugarika na Bugando Igogo. ๐ ๐ ๐Kuanzia mjini sehemu gani maana kuanzia Voil mpaka stendi ya igombe pamebana au watalipa fidia kwa majengo ya watu?
Basi kama ni hivyo hatq nyegezi stand kwa nn wasinge anza ujenzi wa barabara za kuingilia na kutokea by the time wanakabizi mradi kila kitu kiwe tayari kuepukana usumbufu wa nyamhongolo au kama uliopo mbezi-magufuli terminalKilichochelewesha ni njia ya kuingilia na kutokea mabasi ndo bado wanakamilisha ujenzi wake
Utakuwa na msongamano wakati wa kuingia mjini kuanzia voil itakuwa ni shida kubwa sana lkn kuanzia kituo cha pepsi hadi pale bomani kuna nafasi inatosha kabisa ila kuanzia pepsi hadi voil ndo pafinyuHapo nahis wanaweza anzia voil kuelekea buhongwa-usagara
Yan kile kinjia cha mawe kilichoweka kule igogo kuelekea bugango inabid wakifumue na wajenge barabara ya lami maana ile ni by pass nzuri sanaPale VOIL ni shughuli, itabidi waatanue njia za milimani hasa Igogo/ Bugando na kulipa fidia kwa sbabu ndio rahisi kwa fidia, inflow na outflow ya magari iwe absorved na njia zinazotokea Bugando Bugarika na Bugando Igogo. ๐ ๐ ๐
Nyegezi njia zilikuwepo toka zamani ya kuingilia na kutokaBasi kama ni hivyo hatq nyegezi stand kwa nn wasinge anza ujenzi wa barabara za kuingilia na kutokea by the time wanakabizi mradi kila kitu kiwe tayari kuepukana usumbufu wa nyamhongolo au kama uliopo mbezi-magufuli terminal
Hapo kasheshe ipo aisee maana mji unazid kukua kila siku na hiyo barabara haina mbadala tofauti na njia kuu zingineK
Utakuwa na msongamano wakati wa kuingia mjini kuanzia voil itakuwa ni shida kubwa sana lkn kuanzia kituo cha pepsi hadi pale bomani kuna nafasi inatosha kabisa ila kuanzia pepsi hadi voil ndo pafinyu
Yan kile kinjia cha mawe kilichoweka kule igogo kuelekea bugango inabid wakifumue na wajenge barabara ya lami maana ile ni by pass nzuri sana
Kwa miaka ijayo wapige via Duct la njia nne kupitia ziwani likamwagikie capri point milimani ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hapo kasheshe ipo aisee maana mji unazid kukua kila siku na hiyo barabara haina mbadala tofauti na njia kuu zingine
For sure maana kama mtu anahitaji kwenda buzuruga hana haja ya kupita townNaimani jam barabara ya Kenyatta itapungua kwa kuunganisha Barabara ya Nyerere na Kanyatta kwa hiyo miradi ya Tactic Mkuyuni - Mahina - Nyakato, Buhongwa Kishiri, Mahina - Bugarika
Afu mbona inawezekana kabisa๐๐๐Kwa miaka ijayo wapige via Duct la njia nne kupitia ziwani likamwagikie capri point milimani ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Pale kwenye ule msitu?Hivi maeneo ya barabara ya balewa karibu na Nyakahoja primary nasikia wanataka kujenga ikulu hayo maeneo?
Barabara za mawe wazijenge huko milimaniNilisikia wanajenga mecco hadi kangaye kwa kiwango cha mawe ... yaani wanataka kuzingua kabisa ... barabara za mawe ziwe za mtaani na sio za wilaya .
Sasa si watawahamisha majirani?Pale kwenye ule msitu?
Yawezekana