figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Timbili la mauaji linaenelea kanada ya ziwa hasa mkoa wa Mwanza, baada ya Binti anayekadiriwa kuwa na umri miaka 20-25 kukutwa ameuwawa ikisadikiwa kwa kubakwa na baadae kunyongwa katika mtaa wa Nyamanoro, jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Hii hali ya chuki na pepo la Mauaji lilioikumba tanzania Tuombe Mungu atusaidie Sana. Inasikitisha sana kuiondoa roho ya Nguvu kazi. Serikali inabidi ianze kutuo elimu tena juu ya umuhimu wa kuishi. Viongozi wa dini nao waendelee kufundisha na kuhimiza juu ya Upendo. Watanzania tunamalizana wenyewe kwa wenyewe.
Inasikitisha sana.