Waliokutwa na hatia ya mauaji ya RPC Liberatus Barlow wa Mwanza wahukumiwa kifo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
1573629593390.png

Mahakama Kuu kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa hadi kufa, washtakiwa wanne baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow October, 2012.

Hukumu hiyo imetolewa Mwanza na Jaji Sirialus Matupa baada ya Mahakama kuridhika kuwa Watuhumiwa hao wanne kati ya saba walitenda kosa hilo.

Waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa ni Muganyizi Michael, Magige Mwita, Abdallah Petro na Abdulrhaman Ismail. Kamanda Barlow aliuawa kwa kupigwa risasi eneo la Kitangiri Wilayani Ilemela Mwanza, saa 8 usiku wa kuamkia October 13,2012.
 
Ticha alikua mjane kwahiyo kamanda alikua anamiliki kihalali inaonekana aliwahiwa na wauaji
Ticha alikua pini , sema nayeye alikua kicheche tu.

Sema nn, kamanda alijaribu kumpoteza Jamaa WA madini, almanusura jamaa akaponea chupuchupu kama alivyonusurika TL.

Naye jamaa akaamua kumvizia kamanda ...kamanda ye akapatikana !!
 
Papuchi ina nguvu za ajabu sana, sasa huyo Mwanamke wanamkosa wote afu anabaki kitaa wajanja wakijitafunia tu.
 
Bosi naweza kupata picha za huyo Ke pm ili nithaminishe uzuri wake na maamuzi ya Me kuuana kwaajili yake?
Ticha alikua pini , sema nayeye alikua kicheche tu.

Sema nn, kamanda alijaribu kumpoteza Jamaa WA madini, almanusura jamaa akaponea chupuchupu kama alivyonusurika TL.

Naye jamaa akaamua kumvizia kamanda ...kamanda ye akapatikana !!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom