Kwa wale wa Mwanza na kwingineko tunakaribisha maswali ya matumizi ya Aunt Zainab"s Natural Super Clay (Application).
Baadhi ya kazi zake ni kufanyia face and body masking, scrubbing, cleansing, kutibu chunusi na matatizo mengine ya ngozi. Bila kutumia makemikali ambayo huleta madhara kwenye ngozi. Huu ni udongo asilia 100% haujaongezwa chochote na katika baadhi ya matumizi tutawaonesha namna ya kuongea vitu asilia kupata mafanikio ya haraka.
Kama mna maswali yoyote jinsi ya kuutumia tunakaribisha maswali na tutajitahidi kujibu kadiri ya uwezo wetu.