kwamujibu wa kibari chapolisi mkutano utakuwa saa8 mchana.
Nitakuwa nishatoka msituni, Nitakwepo...
kwamujibu wa kibari chapolisi mkutano utakuwa saa8 mchana.
nduguyangu viongozi wote wamesha wasil jioni hii.
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?
Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
Kama huyo Mkomola ni mhehe kunywa sumu sio habari.Nikwel kabisa ktk mkoa mzima wa iringa ngome kuu ya magamba ni mafinga hapa chadema inabidi 2fanye kz ya ziada.maana katibu wa ccm wilaya bwana jacobu mkomola amesema kama chadema watashinda udiwani kata yoyote mwilaya ya mufindi yeye anakunywa sumu.
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?
Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
Chama cha demoklasia CHADEMA kesho kitafanya mkutano mkubwa sana ktk kijiji cha Nyololo kilichopo kilomita 20 kutoka Mafinga mjini.
Wageni watakao kuwepo ni mh. Kigaila na dr. Slaa.
Nitawapa live updates kutoka Nyololo na picha za matukio.
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?
Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
hata kwenye google hayupo! nonsense!who is maggid mjengwa by the way........
hata kwenye google hayupo! nonsense!
nipo my dear! nilibanwa kidogo na shughuli za hapa na pale, ila tupo pamoja sanaaaaa! mzima lakini??mkuu siku nyingi sana..