Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

Kandindi

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
19
Reaction score
4
Chama cha demoklasia CHADEMA kesho kitafanya mkutano mkubwa sana ktk kijiji cha Nyololo kilichopo kilomita 20 kutoka Mafinga mjini.

Wageni watakao kuwepo ni mh. Kigaila na dr. Slaa.

Nitawapa live updates kutoka Nyololo na picha za matukio.
 
Asante makamanda najua hiyo ni kazi ngumu maana hapo ni ngome ya magamba.
 
Nyie cdm mmezoea uongo wa kuwataja viongozi maarufu lakini siku ya tukio hawaonekani. Ngoja nisubiri hiyo kesho coz niko hapa nyololo....
 
mgombea udiwani kupitia ccm francis douglas ambaye pia katibu uptc mkoani iringa naye atakuwepo ??
 
Wacha nisubiri hiyo mkutano japo hujatuambia ni saa ngapi?
 
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?

Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
 
Asante makamanda najua hiyo ni kazi ngumu maana hapo ni ngome ya magamba.
Nikwel kabisa ktk mkoa mzima wa iringa ngome kuu ya magamba ni mafinga hapa chadema inabidi 2fanye kz ya ziada.maana katibu wa ccm wilaya bwana jacobu mkomola amesema kama chadema watashinda udiwani kata yoyote mwilaya ya mufindi yeye anakunywa sumu.
 
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?

Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...

Mkuu niko hapa nyololo stendi wacha kesho nishuhudie live.
 
that's great of you...viva chadema.
 
Nyie cdm mmezoea uongo wa kuwataja viongozi maarufu lakini siku ya tukio hawaonekani. Ngoja nisubiri hiyo kesho coz niko hapa nyololo....

nduguyangu viongozi wote wamesha wasil jioni hii.
 
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?

Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
who is maggid mjengwa by the way........
 
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?

Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...
sio kwa macho ya ccm mkuu, any way tutashuhudia hiyo kesho...
 
Kuweni makini na vitu vizito, maana mapolis wanapandia vyeo hapo iringa, mafinga ni ngome ya magamba, hivo chadema pigeni kambi hapo...
 
Hivi hamkumsikia Maggid Mjengwa alivyowaambia kuwa watu wa Nyololo sasa hivi hawana tena hamu ya kuona Chadema na uchochezi wao?

Ni baada ya yeye Maggid kutembelea na kujionea hali halisi kwa macho yake...

huyu huyu mjengwa alieshiriki kumtoboa macho mwandishi wahabari..
 
Chama cha demoklasia CHADEMA kesho kitafanya mkutano mkubwa sana ktk kijiji cha Nyololo kilichopo kilomita 20 kutoka Mafinga mjini.

Wageni watakao kuwepo ni mh. Kigaila na dr. Slaa.

Nitawapa live updates kutoka Nyololo na picha za matukio.

Mjihadhari na mabomu na risasi za moto!
 
Hawa wanafiki Chadema waliohadi kuwasomesha watoto wa Mwangosi na sasa wamewatelekeza..
 
Back
Top Bottom