Mwangalie Pundamilia, ni mzuri mno

Mwangalie Pundamilia, ni mzuri mno

Technologiest

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,058
Mwangalie Pundamilia, ni mzuri mnoo... Ana rangi za kupendeza, anavutia, anatembea kwa madaha na mara zote ni msafi.

Pundamilia hafanani na Punda kwa sifa zake, lakini wote walikuwa wakiishi porini hapo kabla. Lakini binadamu alipoamua kuchagua mnyama wa kuishi nae akaamua kumchagua Punda na kumwacha Pundamilia.

Lakini tangu pale mpaka leo amekuwa akitembelea mapori mengi mara kwa mara kwenda kuwaangalia pundamilia kufaharisha macho yake.

#Post hii haihusu punda na pundamilia.
IMG_20230405_090042.jpg
 
Hao ni wanyama wa aina moja ila wana uwezo tofauti. Lengo la kufuga punda bado lipo pale pale. Huko vijijini hao punda ni transport officers.

Kubeba maji, kusafirisha watu vijijini, ambulance za kubeba wajawazito, kubeba mazao, vitega uchumi kwa maana mtu anakaa sokoni au vituoni kusubiri kubeba wasafiri kuwapelekea vijijini.
 
😅😅😅 hapo pundamilia mke muzurii unamuacha porini, unachukua huyo donkey mke mubaya na kumuweka ndanii
 
Hao ni wanyama wa aina moja ila wana uwezo tofauti. Lengo la kufuga punda bado lipo pale pale. Huko vijijini hao punda ni transport officers. Kubeba maji, kusafirisha watu vijijini, ambulance za kubeba wajawazito, kubeba mazao, vitega uchumi kwa maana mtu anakaa sokoni au vituoni kusubiri kubeba wasafiri kuwapelekea vijijini.
Nisome tenaaa.
Lugha ya picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom