Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Arumeru imeonyesha mabadilko makubwa kwenye siasa za Tanzania, wananchi baada ya kuhamasishwa wameamua kujitoa kwa kidogo na kingi walicho nacho ili kupeleka mtetezi wao Bwn Joshua Nasari bungeni!!!! Wameamua kumchangia kidogo kidogo ili aweze kuhimili mikiki ya kampeini bila kutegemea nguvu za mamluki mafisadi na fedha za rushwa!!! Je inawezekana huo ukawa ni mwanzo na njia sahihi ya kutokomeza rushwa na ufisadi Tanzania????????????? Nawasilisha!!!!