Mwanga Lutila JF-Expert Member Nov 10, 2016 3,967 12,951 Dec 18, 2016 Thread starter #2 "Mwenye busara asiyejichanganya nasi wajinga huwa mjinga wa busara zake za kujitenga nasi" -Mwanga Lutila-
"Mwenye busara asiyejichanganya nasi wajinga huwa mjinga wa busara zake za kujitenga nasi" -Mwanga Lutila-
mxsdk JF-Expert Member Aug 11, 2014 3,585 2,045 Dec 18, 2016 #5 Hizi quotes ni matata..ongeza nimezipenda.
Mwanga Lutila JF-Expert Member Nov 10, 2016 3,967 12,951 Dec 18, 2016 Thread starter #7 "Usifanye jambo kwa kutegemea kupongezwa kumbuka usipopongezwa itakuumiza sana, lakini ukipongezwa pasipo kutarajia pongezi hizo utajisikia furaha sana" -Mwanga Lutila-
"Usifanye jambo kwa kutegemea kupongezwa kumbuka usipopongezwa itakuumiza sana, lakini ukipongezwa pasipo kutarajia pongezi hizo utajisikia furaha sana" -Mwanga Lutila-
multiple JF-Expert Member Feb 14, 2016 389 627 Dec 18, 2016 #8 endelea kushusha vitu..weka vitu mezani mkuu
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Apr 20, 2016 12,469 17,580 Dec 18, 2016 #9 a)Fanya starehee kwa wingi kwani maisha yenyewe ni mafupi {b}.Usiogope ukimwi kama kufa utakufa tu (by unknown)
a)Fanya starehee kwa wingi kwani maisha yenyewe ni mafupi {b}.Usiogope ukimwi kama kufa utakufa tu (by unknown)