Mwanga Lutila Quotes

"Mwenye busara asiyejichanganya nasi wajinga huwa mjinga wa busara zake za kujitenga nasi"

-Mwanga Lutila-
 
"Usifanye jambo kwa kutegemea kupongezwa kumbuka usipopongezwa itakuumiza sana, lakini ukipongezwa pasipo kutarajia pongezi hizo utajisikia furaha sana"

-Mwanga Lutila-
 
a)Fanya starehee kwa wingi kwani maisha yenyewe ni mafupi {b}.Usiogope ukimwi kama kufa utakufa tu (by unknown)
 
Back
Top Bottom