Mwaka huu ni mwaka mgumu kwetu, wala tusifanye mchezo, inabidi tujibu mapigo kwani yatakuja watatuuliza na wataendelea kutupiga tu kuhusu Epa, wataendelea kutupiga kuhusu Richmond, wataendelea kutupiga mapigo kuhusu Escrow na liko lingine linakuja la kutupiga kuhusu Vodacom, alisema Profesa Mwandosya.
Alisema kuwa katika safari yake ya kusaka wadhamini kwenye mikoa yote 15 aliyopita, amebaini kuwa kilio kikubwa cha wananchi ni ufisadi na rushwa, hivyo ili kumpata rais atakayekidhi mahitaji ya Watanzania wengi, lazima achaguliwe yule anayeichukia rushwa.:A S 112:
naskia kuna sehem kapita mtia nia mmoja akapata wadhamini 87 tu je hapa inakuwaje endapo hajakamilisha idadi inayotakiwa?
kwa hiyo inamaana hata akiwa raisi hawezi kupata hata asilimia 10% ya watanzania
kanuni za chama ni kwamba kila mtia nia anatakiwa akamilishe idadi ya wadhamini wasiopungua 450 kwa kila mkoa atakaopita. Sasa huyu naskia ni mama ambae kama amekurupuka vile kutamani kulala magogoni na hatimaye akaangukia jiji moja pande za kaskazini huko akaambulia mikono 87 tu.
Tunaomba hebu wahusika wa chama hapa inakuwaje kwa huyu asiyetimiza idadi??
Afu angalizo: Kwa mtiririko huu aweke tahadhari tu asije akapitia mtaa uleee aliyopita yule mwenzie ambae nae kama amekurupushwa tu alipofika mtaa ule jamaa walitembeza kichapo cha hajja. Eti anakidhalilisha chama!! Kisa kaishia la 7 wakati sheria ya chama unatakiwa ujue kusoma gazeti la uhuru na pia kuandika.
Kwahiyo mama weka tahadhari utakapoingia ntaa huu ujue kabisaa kuna kichapo cha haja.fimbo! Mama kuna fimbo!! Zitakushukia utakoma kupita mtaa huo.
Mwenzio alpopata kichapo alisema yuko fiti hawamuwezi. Sasa sijui na wewe mama utasemaje baada ya kichapo.:decision:
naskia kuna sehem kapita mtia nia mmoja akapata wadhamini 87 tu je hapa inakuwaje endapo hajakamilisha idadi inayotakiwa?