Mwandosya: Shambulio kwa maaskofu ni shambulio kwetu sote,tujipange

Status
Not open for further replies.
Mwandosya ni kanisa la Moravian ambalo askofu wake alikataa kata kata kuwa Moravian haina tabia ya kutoa nyaraka .mambo ya KKKT na katoliki yanamhusu nini wa maaskofu wake? anapingana Na msimamo wa kanisa usiotaka nyaraka?
Acha fitina wewe mtu mzima ujue.
 
Hongera zake kwa kusema na kusimamia ukweli.

CCM ili itoke hapo ilipo, inahitaji wana-CCM kama kina Mwandosya katika safu yake ya uongozi.

Anyway, wacha ijifie tu maana inastahili.
Ukiwa nje ya mchezo ni rahisi kuwa na mawazo ya busara. Unaadhani angekua rais an waziri angesema hivyo?
 
Mwandosya ni kanisa la Moravian ambalo askofu wake alikataa kata kata kuwa Moravian haina tabia ya kutoa nyaraka .mambo ya KKKT na katoliki yanamhusu nini wa maaskofu wake? anapingana Na msimamo wa kanisa usiotaka nyaraka?
Yaani ww jamaa ni jasiri sana,kwa kifupi ww si binadamu wa kawaida.
 
Wengi humu kazi yao ni kushabikia hata nchi inaangamia wao wanaona ni sawa tu. Kazi yao kumsifu mtawala hata kama anakosea, ajabu na aibu yao ni pale mtawala huyo anapoamua kufuata yale ambayo wapinzani au wakosoaji wamesema. Utakuta na yenyewe bado yapo tu.
 
Mkuu mbona inaonekana alizungumza 2015 hayo maneno? Je anaweza kuzungumza hayo sasa?
Hiyo itakuwa ni picha tu ambayo kaitumia kusindikiza ujumbe wake maana hata hiyo forum asingeweza kuitumia kuongea mambo ya dini hivyo kaamua tu kutumia hiyo picha ya mwaka 2015 kusindikiza ujumbe wake wa mwaka 2018.
 
Mwongo mkubwa, tangu lini Mwandosya amekuwa mwumini wa Moravian...yan majitu ya CCM sijui nani kawaloga, hamna ufahamu na jambo lolote pumbavu!
Maaskofu wake Mwandosya wa Moravian sio CCM au chadema au chama chochote cha Siasa ni waumini wa kanisa la Moravian tofautisha na askofu shoo muumini wa chadema mwenye joho ,kofia Na fimbo ya kiaskofu ya KKKT
 
kukosa madaraka kunamuumiza sana mzee huyu.
Enzi za mkapa na kikwete Maaskofu waliparurana sana na serikali lakini hatukumsikia akiwatia moyo,kwa kua alikua serikalini.Sasa yupo jobless anajaribu kuvuruga mambo tu,awaache Maaskofu watamalizana na serikali kama kuna tatizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom