Mwandosya: Shambulio kwa maaskofu ni shambulio kwetu sote,tujipange

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,189
103,708
Screenshot_2018-06-10-20-45-22~2.png


Hii habari ameikanusha. Soma=>Mark Mwandosya akanusha uvumi kuhusu kutoa tamko kwa waraka wa maaskofu KKKT
 
Hakika, mpumbavu mmoja tena fisadi na mwuaji wa Kihutu hawezi kuja leo kutishia kufuta Kanisa letu ambalo limekuwepo hapa nchini miaka zaidi ya 120, wakati mjinga mwenyewe ndo kwanza ana miaka 60...

Mimi namwomba Mungu huyu mtu asife, bali apatwe na magonjwa ya aibu kama Upele ama Ukoma anbao hata madaktari na masangoma wake na wa Bashite hawataweza kumtibu
 
Mwandosya ni kanisa la Moravian ambalo askofu wake alikataa kata kata kuwa Moravian haina tabia ya kutoa nyaraka .mambo ya KKKT na katoliki yanamhusu nini ? anapingana Na msimamo wa kanisa la Moravian usiotaka nyaraka?
 
Mwandosya ni kanisa la Moravian ambalo askofu wake alikataa kata kata kuwa Moravian haina tabia ya kutoa nyaraka .mambo ya KKKT na katoliki yanamhusu nini wa maaskofu wake? anapingana Na msimamo wa kanisa usiotaka nyaraka?
Mwongo mkubwa, tangu lini Mwandosya amekuwa mwumini wa Moravian...yan majitu ya CCM sijui nani kawaloga, hamna ufahamu na jambo lolote pumbavu!
 
Mwandosya ni kanisa la Moravian ambalo askofu wake alikataa kata kata kuwa Moravian haina tabia ya kutoa nyaraka .mambo ya KKKT na katoliki yanamhusu nini wa maaskofu wake? anapingana Na msimamo wa kanisa usiotaka nyaraka?
Kosa lake nini hata umshambulie? Kwani amekukosoa wewe? Yeye katoa maoni yake kama Mtanzania kuhusu changamoto iliyopo mbele yetu kama Taifa. Wewe lengo lako ni nini? Hutaki Watanzania wakemee maovu na kutoa maoni yao?
 
Mkuu mbona inaonekana alizungumza 2015 hayo maneno? Je anaweza kuzungumza hayo sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom