Mwandosya hajajiuzulu, ni propaganda za watu wenye agenda zao, Ikulu wangetoa statement na siyo "Dira"

nimeikumbuka hii:Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani: Sofia Simba
NAdhani Eng. Chiza hayuko tena wizara ya maji!!!!!tangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana
Kabla hajaondoka tunaomba atupe maelezo kuhusu bwawa lilojengwa kule musoma chini ya kiwango likabomoka.

Na tumemenza uchunguzi wa kiina, ndani ya system, tungaalia kama ugonjwa huu kama ni wa mungu sawa, lakini kama ni mkono wa mtu, katika kufifisha nguvu za huyu rais wa Mbeya, basi aliyechezesha hujuma hii ya kimaafia hata kaa ishi haishi kamwe. Majibu yote tutayaweka wazi hapa JF. Kama tanzania hatujawi ota kuwa na vita kama ya biafra basi Mbeya itakuwa ya kwanza.Gibbons Mwaikambo aliondoka kiutata tulikaa kimya,aliondoka Stiven K

mkuu acha vitisho vya kiukabila.kila kabila wakitoa vitisho hvyo nchi itakalika?? Thnk twice before you write somethng.kumbuka utavuna unachopanda...wachaga wakisema juu ya kombe,wamasai wakija na la moringe na wengne nao wakija na wa kwao itakuwaje?? Nonesense.
kile kimama ni kama kichizi muda mwingine awezeje kutamka haya?nimeikumbuka hii:Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani: Sofia Simba
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Source: Dira ya mtanzania.

Unaitowa raha habari yote kwa kuandika Kiswahili kibovu kabisa, hivi huwa mnasoma shule zipi?

tangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana