Ameitwa na nani wakati Rais yuko US kwa matibabu!? Mbeba mikasi kweli ana uwezo huo ................... I doubt!!
Zingekuwa zinaendelea kiukweli kweli unafikiri Rais angekuwa anasafiri kihivyo!!?? Maamuzi yote makubwa hayafanyiki akiwa nje!!
mtasema sana mtaandika sana mtaunda uwongo sana hakuna serikali kuanguka wala hakuna chochote
Waziri asiye na wizara maalum Prof. Mark Mwandosya ameitwa Dar kwa ajili ya shughuli maalum, imefahamika.
Kwa sasa habari za uhakika kabisa ni kuwa kama waziri mkuu Mizengo Pinda atalazimika kujiuzulu jumatatu basi Prof. Mark Mwandosya ndiye waziri mkuu mpya.
Aidha bado haijadhihirika kama Pinda atakaangwa ingawa tayari kuna kila dalili ya serikali kuanguka kwa mara nyingine tena.
Bado haijafahamika ni nini hasa Mwandosya alichoitiwa Dar ingawa ameitwa huko!
mtasema sana mtaandika sana mtaunda uwongo sana hakuna serikali kuanguka wala hakuna chochote
rais ni taasisi kama jakaya hayupo yaiimanishi taasisi haipo.