G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,418
- 39,523
Waziri asiye na wizara maalum Prof. Mark Mwandosya ameitwa Dar kwa ajili ya shughuli maalum, imefahamika.
Kwa sasa habari za uhakika kabisa ni kuwa kama waziri mkuu Mizengo Pinda atalazimika kujiuzulu jumatatu basi Prof. Mark Mwandosya ndiye waziri mkuu mpya.
Aidha bado haijadhihirika kama Pinda atakaangwa ingawa tayari kuna kila dalili ya serikali kuanguka kwa mara nyingine tena.
Bado haijafahamika ni nini hasa Mwandosya alichoitiwa Dar ingawa ameitwa huko!