kama una kipaji cha kweli mpelekee mashairi mond
Mkuu ili upate nafasi ya watu kununua huduma yako I strongly advice ujaribu hii freelancing platform ya KiswahiliKwa anaehitaji kuandikiwa scripts,story za vitabu pamoja na nyimbo za aina zote ani pm please...asanteni
Asante sana mkuuMkuu ili upate nafasi ya watu kununua huduma yako I strongly advice ujaribu hii freelancing platform ya Kiswahili
Projects | KaziYako Tanzania
Kwenye hiyo platform unaweza kuuza ujuzi wako wowote ule na soon buyers watakutafuta.
Kumbuka kuandika huduma unazotoa vizuri.
Kama unapata tabu jaribu kuangalia profiles za watu wengine na uone wanavyoandika profile zao.
Bila shaka hii itakuwa msaada kwako na wengine wote wanaotafuta njia kutengeneza side income mtandaoni.