Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Waandishi wa habari jijini Arusha wamejikusanya kituo cha Polisi cha kati jijini hapa, muda huu kujua hatma ya Mwenzao Moses Mashala anayeandikia gazeti la Mwananchi na mkewe Lilian ambao wanashikiliwa na Polisi kwa kosa la kusambaza ujumbe ,ukimtuhumu mume mwenzake na Mashala kubaka msichana wa miaka 16,RPC aingilia kati