kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Ndugu zangu wapendwa namtafuta mtu anayeweza kuniandikia kipindi cha tv..nina idea ila sio mtaalam..hivyo naomben kama kuna mwenye uelewa au anayeweza nisaidia pata mtaalam.. ntafurah zaidi niki[pata mwanafunzi ambaye yuko chuo, nami pia ni mwanafunzi wa chuo.
malipo tutakubaliana.
Please pm.
malipo tutakubaliana.
Please pm.