Uandaaji wa kipindi cha TV

Uandaaji wa kipindi cha TV

Z boy

New Member
Joined
May 20, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Hello wapendwa naomba msaada Nina idea kubwa ya kipindi Cha radio naomba kujua wapi naweza kuanzia kuonesha idea yangu hii
 
Hakikisha unajipanga kuanza kufanya moja kwa moja bila kukwama.
Reason ni kwamba ukifanya kwa unyonge au kukwama kwama kuna watu tayari wapo kwenye system watachukua idea yako na kuifanya kwa ukubwa then wewe ndio utaonekana umecopy.
 
Asante Sasa Nan anaweza nisaidia
 
Back
Top Bottom