Lubunga Byaombe,Huyu jamaa sijui kaenda wapi bwana alikuwa ananikosha sana akiripoti
Huwa ni reporter wa sauti ya Amerika.Nadhani na itv wanamtumia tu, ndio kazi za ma reporter wa kimataifa wanatakiwa kuwa kifo nje inje, sio hapa sam mahela anaripoti kwa mbwembwe!!!
Sam Mahela hamfikii malivika hata chembe...malivika habari zake anazitoa front line na wewe unaona line...lakini yeye Mahela anaripoti huku kakaa kwenye sofa huku anabetua midomo.
Huwa ni reporter wa sauti ya Amerika.Nadhani na itv wanamtumia tu, ndio kazi za ma reporter wa kimataifa wanatakiwa kuwa kifo nje inje, sio hapa sam mahela anaripoti kwa mbwembwe!!!
je wapiga kamera na crew yake
Mnadhani yupo mwenyewe
THINK OUT OF THE BOX
Watu wanasifia aliyepigwa picha badala ya kumsifu na kamera man? Tena yeye ndo anakuwa na vifaa vingi zaidi. By the way, the guy is good.
yaaap
ila wanatakiwa wajue hapo kuna crew kubwa
Huwa ni reporter wa sauti ya Amerika.Nadhani na itv wanamtumia tu, ndio kazi za ma reporter wa kimataifa wanatakiwa kuwa kifo nje inje, sio hapa sam mahela anaripoti kwa mbwembwe!!!
Watu wanasifia aliyepigwa picha badala ya kumsifu na kamera man? Tena yeye ndo anakuwa na vifaa vingi zaidi. By the way, the guy is good.
yaaap
ila wanatakiwa wajue hapo kuna crew kubwa
jamaa namkubali sana!