Mwandishi kazungumza ukweli kabisa.Kama uko mpinzan ukikosea nawe ukubali kukosolewa.Watz hawapaswi kusamehe upuuzi wa CDM wa kujichukulia sheria mkononi hasa vijana wa kiume kumshambulia na kumkamata mama wa kike.Chama cha siasa tangu lini kikawa na makamanda?,hapo mwandishi ndio anasema CDM mnakoelekea ni kubaya.Kumvua mama hijabu mmedhihirisha kuwa padre anachuki na uislam na waislam hatutawasamehe kamwe labda mtuombe radhi.
Nalipa pongezi gazeti la Majira kwa kuandika habari za ukweli na uhakika.
Ni kweli wahuni wa CDM wanataka kuleta machafuko nchini wananchi wapenda amani hatuwezi kukubaliana na huo upuuzi
Wale wahuni wako wenyewe lupango wanalia liaHongera na wewe hapa umeonyesha ni jinsi ulivyo great thinker kuendelea kushabikia serikali legelege inayoongozwa na ma dc legelege tena tukimwona tena anafanya mikutano mingine kinyume na utaratibu tutampa kadi ya cdm kabisa ili akome

Wewe genious, wa Vingunguti kama unampenda Malaria Sugu mpikie pilau mimi takuletea Kuku wa kienyeji..Mimi kwangu CDM na CCM kwangu ni takataka tu. Mimi sio mtumwa wa siasa kama wewe mateka wa Mbowe

Ushauri wangu kwa vijana wa CDM wafanyeni kazi acheni kukaa kwenye vijiwe vya Mbege huku mnakunywa viroba vya Vldimir Vodka na Valeur Brandy. Na kucheza Draft.

Hakuna maisha ya ujanja ujanja dawa ni kufanya kazi kwa bidii, angalie msije kuwa kama kina Tambwe Hiza. CDM hawawezi kukulipia kodi ya nyumba, hawawezi kukupeleka watoto wako shule. Kichwa chako ndio serikali yako

Tatizo la CHADEMA ni kwamba wakiambiwa ukweli huwa hawataki wao ni ubidshi tu. Kusema kweli kwa suala la mkuu wa wilaya hapa CDM wameboronga. Imenikumbusha bango moja lililosema "Vurugu zenu pelekeni huko Arusha." CHADEMA ni vema mkapgania haki lakini siyo kueneza vurugu zisizo na tija.

Mwandishi naona ameandika kwa jazba sana akielezea tu upande moja akiacha kabisa upande wa pili, ameandika kishabiki zaidi than reality.
Kweny bolds,inaonyesha pia kwamba hauna tofauti na mwandishi
Msisumbuke na huyo Mwandishi Gladnes Mboma, ni Bibi yake Amos Makalla tangu Makala akiwa umoja wa vijana enzi hizo hadi sasa, tayari mwandishi ameshalewa u-CCM na hautaweza kumtoka maana amefaidika nao. Mpotezeeni na mawazo yake yapotezeeni msiumize vichwa.
Naheshimu sana siasa za ushindani...hasa ushindani wa hoja. Nilishtuka sana kusikia yale wana CHADEMA waliyoyafanya kwa Mkuu wa Wilaya. Ni kitendo kibaya sana, na hasa ni picha mbaya sana kwa wale wapenda demokrasia ya ushindani. Hili ni kosa la jinai na waliohusika wote wanapaswa kushitakiwa bila kujali ni wafuasi wa CHADEMA au la. Kiungwana nilitegemea viongozi wa CHADEMA kuomba radhi kwa yale yaliyofanywa na wafuasi wao lakini kwa kuendelea kuwatetea wanaudhilishia umma wa
Unasahau kuwa uhalifu ni uhalifu tu na raia yeyote anayo haki ya kuzuia uhalifu kutendeka kama huo uwezo anao. Hakuna mtu aliye above the law - awe DC, RC, PM hadi Raisi mwenyewe. Huyo Mubarak wa Misri hakuwa Raisi ? Huyo Gadafi wa Libya hakuwa Raisi ? Au unataka kudai kuwa Raisi wa Tanzania si binadamu wa kawaida ! Hebu shuhudia huu umati ukiwapokea hao makamanda waliotekeleza jukumu lao kama raia wema kwa kumkamata DC mhalifu walivyopokewa Igunga baada ya kuachiliwa na mahakama ya hakimu mkazi wa Tabora ! Huu umati tafsiri yake ni nini kwa mawazo yako ?Na kwa hili kwa kweli Serikali isiposimama firm kesho atafuata RC, halafu Waziri halafu PM na baada ya hapo ni Raisi wa Nchi.
naunga mkono hoja! wabongo wanapenda amani kuliko kitu chochote, yaani tupo tayari kulala kwenye nyumba za tembe huku viongozi wakiwa kwenye magorofa ya kufa mtu, gozi la ng'ombe ni ndio godoro letu, kupiga debe, kutafuta chupa na vyuma chakavu ndio ajira zetu, maji machafu ya chooni ndiyo tunayokunywa: yote haya tupo tayari lakini kuvunjika kwa amani hatupo radhi kabisaaa!!!!!!!!!!Nalipa pongezi gazeti la Majira kwa kuandika habari za ukweli na uhakika.
Ni kweli wahuni wa CDM wanataka kuleta machafuko nchini wananchi wapenda amani hatuwezi kukubaliana na huo upuuzi