Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

hil gazeti ni miaka zaidi ya 10 sijawahi kulisoma na sifikiri kulisoma maana ni upuuuuuuuuuuzi mtupu ndani yake na hawaangaliii upepo unavuma kuelekea wapi wataajuta siku moja

Napata shida sana nikiona baadhi ya watu wanapenda kusoma habari za kufarahisha imani na mitazao yao hata kama ni ya kimakengeza, lakini inawawia vigumu kupokea changamoto za upande wa pili wa shilingi, hata kama kuna hoja za msingi... kwa Fikra hizo mgando na kipumbavu ni kujidanganya na hatma yake ni kuvuvia makovu yatakayotokana na majeraha na ulemavu wa kutofikiri kwa kina kuhusu namna ya kuondokana kwa busara na utashi wa kibiaadamu, na changamoto zinazotukabila kila uchao !!!

Mwandishi kazungumza ukweli kabisa.Kama uko mpinzan ukikosea nawe ukubali kukosolewa.Watz hawapaswi kusamehe upuuzi wa CDM wa kujichukulia sheria mkononi hasa vijana wa kiume kumshambulia na kumkamata mama wa kike.Chama cha siasa tangu lini kikawa na makamanda?,hapo mwandishi ndio anasema CDM mnakoelekea ni kubaya.Kumvua mama hijabu mmedhihirisha kuwa padre anachuki na uislam na waislam hatutawasamehe kamwe labda mtuombe radhi.

Kweny bolds,inaonyesha pia kwamba hauna tofauti na mwandishi

Msisumbuke na huyo Mwandishi Gladnes Mboma, ni Bibi yake Amos Makalla tangu Makala akiwa umoja wa vijana enzi hizo hadi sasa, tayari mwandishi ameshalewa u-CCM na hautaweza kumtoka maana amefaidika nao. Mpotezeeni na mawazo yake yapotezeeni msiumize vichwa.

Nalipa pongezi gazeti la Majira kwa kuandika habari za ukweli na uhakika.
Ni kweli wahuni wa CDM wanataka kuleta machafuko nchini wananchi wapenda amani hatuwezi kukubaliana na huo upuuzi

Hongera na wewe hapa umeonyesha ni jinsi ulivyo great thinker kuendelea kushabikia serikali legelege inayoongozwa na ma dc legelege tena tukimwona tena anafanya mikutano mingine kinyume na utaratibu tutampa kadi ya cdm kabisa ili akome

Hii ni aina ya uandishi uchwara kabisa. Huwezi ku-justify laana yako kwa chadema bila kuangalia kama dc alifanya makosa au la. Unapoandika namna hiyo maanayake umeshamhesabia haki dc na kuwahukumu chadema bila kuangalia ni nini kilisababisha wafanye hivyo. Kama tunataka kujenga jamii yenye kuzingatia sheria na haki, matukio kama haya lazima yazingatie pande zote mbili, bila kujali kama huyu ni mteule wa rais au ni rais mwenyewe. Watu wote wana haki sawa mbele ya sheria.

Hongera na wewe hapa umeonyesha ni jinsi ulivyo great thinker kuendelea kushabikia serikali legelege inayoongozwa na ma dc legelege tena tukimwona tena anafanya mikutano mingine kinyume na utaratibu tutampa kadi ya cdm kabisa ili akome
Wale wahuni wako wenyewe lupango wanalia lia

Wanasiasa wamewaponza...angalia chukua tahadhari..unafikiri tundu atakusaidia ukifanya uhalifu..

I have seen them wana kesi za kujibu mkuu..toeni elimu sahihi ya uraia kwa washabiki wenu vinginevyo mtawaumiza wanbaki wenyewe mahakamani ok

Wewe genious, wa Vingunguti kama unampenda Malaria Sugu mpikie pilau mimi takuletea Kuku wa kienyeji..Mimi kwangu CDM na CCM kwangu ni takataka tu. Mimi sio mtumwa wa siasa kama wewe mateka wa Mbowe

ASANTE. maana imeandikwa shukuruni kwa kila jambo.

Ushauri wangu kwa vijana wa CDM wafanyeni kazi acheni kukaa kwenye vijiwe vya Mbege huku mnakunywa viroba vya Vldimir Vodka na Valeur Brandy. Na kucheza Draft.

Hakuna maisha ya ujanja ujanja dawa ni kufanya kazi kwa bidii, angalie msije kuwa kama kina Tambwe Hiza. CDM hawawezi kukulipia kodi ya nyumba, hawawezi kukupeleka watoto wako shule. Kichwa chako ndio serikali yako

taratiiiibu unakuja mwenyewe

Tatizo la CHADEMA ni kwamba wakiambiwa ukweli huwa hawataki wao ni ubidshi tu. Kusema kweli kwa suala la mkuu wa wilaya hapa CDM wameboronga. Imenikumbusha bango moja lililosema "Vurugu zenu pelekeni huko Arusha." CHADEMA ni vema mkapgania haki lakini siyo kueneza vurugu zisizo na tija.

taratibu mnakuja wenyewe mtaingia mzki wa cdm ni kama kuku alaye maindi ya songea.

Mwandishi naona ameandika kwa jazba sana akielezea tu upande moja akiacha kabisa upande wa pili, ameandika kishabiki zaidi than reality.

Wala asikuumize kichwa, usikute ameshapewa kibahasha chake, proffesional kwishneyi pesa inaandika gazeti.!

Kweny bolds,inaonyesha pia kwamba hauna tofauti na mwandishi

Hana tofauti na watanzania wapenda amani na wenye nia njema na amani ya nchi hii. Ushenzi ni ushenzi na hautakiwi kufumbiwa macho wala kupewa jina mbadala.

Msisumbuke na huyo Mwandishi Gladnes Mboma, ni Bibi yake Amos Makalla tangu Makala akiwa umoja wa vijana enzi hizo hadi sasa, tayari mwandishi ameshalewa u-CCM na hautaweza kumtoka maana amefaidika nao. Mpotezeeni na mawazo yake yapotezeeni msiumize vichwa.

Kwani kuna nini cha ajabu kuwa na bwana ndani ya chama hiki au kile? Hoja ijadiliwe kama hoja na siyo kumjadili mesenja aliyelta ujumbe. Kama ujumbe ni ovyo then hatujali kama aliyetoa ni bikira, tutaupinga na hivyo hivyo kama ujumbe ni mujarabu basi hata kama aliyetoa ni kahaba utabaki kuwa ujumbe muafaka na tutaukubali. Hivi ukiambiwa uchafu wa hao unaowaabudu si utatapika mpaka ufe?

Naheshimu sana siasa za ushindani...hasa ushindani wa hoja. Nilishtuka sana kusikia yale wana CHADEMA waliyoyafanya kwa Mkuu wa Wilaya. Ni kitendo kibaya sana, na hasa ni picha mbaya sana kwa wale wapenda demokrasia ya ushindani. Hili ni kosa la jinai na waliohusika wote wanapaswa kushitakiwa bila kujali ni wafuasi wa CHADEMA au la. Kiungwana nilitegemea viongozi wa CHADEMA kuomba radhi kwa yale yaliyofanywa na wafuasi wao lakini kwa kuendelea kuwatetea wanaudhilishia umma wa

Yeye ni Mteule wa Rais kwa lugha nyepesi ni Rais wa Wilaya husika lakini vile vile Yeye ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya kwa Lugha nyingine kuanzia Secret Service, Polisi, Mgambo, Magereza na vyombo vingine vyote vilivypo katika ngazi wa Wilaya vipo chini yake hivyo ana heshima yake na kwa kweli sintasita kuungana na mwandishi japo anaoneka kuwa na jazba sintasita hata kidogo kuungana naye, ule ulikuwa ni udhalilishaji wa hali ya juu its completely unacceptable hata kama tuna ufuasi uliopitiliza kwa kweli pale hapana. Na ninavyomfahamu Dr. Slaa japo hatosema ila lile kwa kweli halikumpendeza hata kidogo.

Lazma tufikie mahali tuliende UTU wa mt bila kujali itikadi na magomvi ya namna yoyote na kwa hili Serikali si tu kwa kupitia kwa Mkuchika hapana, iende mbele zaidi kuhakikisha mambo haya yanadhibitiwa. Manake kama Serikali imeshindwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania basi ijitahidi kuona kwamba viongozi wake wanaheshimiwa ndani na nje ya jamii. Manake mathalan leo mama Kimario kadhalilishwa vile jamii anayoiongoza watamchukuliaje na ni wito kwangu kwanza Mkuu huyo wa Wilaya ahamishiwe Wilaya nyingine ii aweze kuwa huru na kulinda heshima yake.

Na kwa hili kwa kweli Serikali isiposimama firm kesho atafuata RC, halafu Waziri halafu PM na baada ya hapo ni Raisi wa Nchi.

Mungu Ibariki Tanzania.

Wewe genious, wa Vingunguti kama unampenda Malaria Sugu mpikie pilau mimi takuletea Kuku wa kienyeji..Mimi kwangu CDM na CCM kwangu ni takataka tu. Mimi sio mtumwa wa siasa kama wewe mateka wa Mbowe -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sasa Unashoboka nn? ooh CDM imepanda, CDM imeshuka Oooh Mbowe, OOOh slaa...au mk.ndu unawasha?

Mbona yule mbunge wa CUF aliyenyanyaswa na kufedheheshwa kwa wiki nzima kule Tabora hatukusikia kelele kama hizi? yule hakuwa mwanamke? au huyu wa sasa ni mwanamke zaidi kwa vile ni mteule wa Raisi.

Na kwa hili kwa kweli Serikali isiposimama firm kesho atafuata RC, halafu Waziri halafu PM na baada ya hapo ni Raisi wa Nchi.
Unasahau kuwa uhalifu ni uhalifu tu na raia yeyote anayo haki ya kuzuia uhalifu kutendeka kama huo uwezo anao. Hakuna mtu aliye above the law - awe DC, RC, PM hadi Raisi mwenyewe. Huyo Mubarak wa Misri hakuwa Raisi ? Huyo Gadafi wa Libya hakuwa Raisi ? Au unataka kudai kuwa Raisi wa Tanzania si binadamu wa kawaida ! Hebu shuhudia huu umati ukiwapokea hao makamanda waliotekeleza jukumu lao kama raia wema kwa kumkamata DC mhalifu walivyopokewa Igunga baada ya kuachiliwa na mahakama ya hakimu mkazi wa Tabora ! Huu umati tafsiri yake ni nini kwa mawazo yako ?
attachment.php

Vyombo vya habari vinaripoti matukio ya igunga as if tupo kwny vurugu kubwa mno, mpaka ndugu waliopo nje ya wilaya wamejawa na hofu!

Nalipa pongezi gazeti la Majira kwa kuandika habari za ukweli na uhakika.
Ni kweli wahuni wa CDM wanataka kuleta machafuko nchini wananchi wapenda amani hatuwezi kukubaliana na huo upuuzi
naunga mkono hoja! wabongo wanapenda amani kuliko kitu chochote, yaani tupo tayari kulala kwenye nyumba za tembe huku viongozi wakiwa kwenye magorofa ya kufa mtu, gozi la ng'ombe ni ndio godoro letu, kupiga debe, kutafuta chupa na vyuma chakavu ndio ajira zetu, maji machafu ya chooni ndiyo tunayokunywa: yote haya tupo tayari lakini kuvunjika kwa amani hatupo radhi kabisaaa!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom