Mchizi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 3,067
- 7,487
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
Ndugu una ushahidi au ndo mradi na wewe uandike?
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
Wewe acha uongo, sio Bashe wewe? Bashe ninayemjua mimi uandishi wake ndio huu.Mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha News Editor Ndugu Dennis Msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika kuwa amekwenda kujiunga na gazeti la mtanzania la kampuni ya habari cooperation hasa baada ya kuonekana zaidi ya mara tano kwenye vikao na Hussein Bashe wa Habari.Hili ni pigo kubwa sana kwa Mzee Mengi .Baada ya barua kufika Jesse Kwayu ameonekana akienda kwenye kikao cha dharura na Managing Director.waandishi wote hapa news room ipp wanaonyesha kutoamini kilichotokea.
Ni njaa tu mkuu wangu, wengi wa waandishi wetu huwezi amini wakiahidiwa hata milioni 3 tu wanaweza kuchafua hali ya hewa tu. Nikwambie ki2, usimwamini mtu aliyenunuliwa, hata kama anamjua Mengi kwa vyovyote vile lazima kwenye atakachokiandika aongeze chumvi. Kwa mwandishi mwenye kujua anafanya nini hawezi kwenda kwenye kampuni hewa ya New Habari ambayo imejaa madudu kibao tu (ref. barua ya Salva kwenda kwa Rostam).Du njaa hizi zitatumaliza na vita dhidi ya ufisadi ni ngumu mno. Ngoja tusubiri atakachokuwa anaandika huko, maana atakuwa anajua siri za Mengi nyingi. Kaahidiwa dau kubwa kutoka pesa za ufisadi na kingmaker RA, na huenda keshanunuliwa jumba kubwa la kifahari mahali.
Hakuna kiwango kikubwa cha mshahara Yo Yo, hata wabunge hawaridhiki na kiwango walicho nacho, mshahara ni makubaliano ya mwajiriwa na mwajiri. Ukienda na njaa ukakubali kiwango cha chini kwenye intavyuu basi kubali kuwa njaa yako ndiyo imekuponza. Pia yawezekana huyo wanayedhania wamemvuna wakawa wamevunwa wao, atakuwa upande wao kidogo baadae anaweza kubadilika. Wa kununuliwa ni wa kununuliwa tu. Hata Manyerere anajua hilo!wakuu mie simlaumu.......hata nyie mkisikia RA ana recruit nishtueni....mzee mengi na yeye anwaminya sana mishahara wafanyakazi wake....
Eh?Msaki ndo anatuhama Tabata! Na yule demu wake Nana Moleli anahama naye au?
Job true true!Kazi kweli kweli
Nani analipa vizuri Tanzania GT? Dr Dau wa NSSF?simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
Shangazi nimekuvulia kofia! Unamjua vema huyu jamaa, Bashe (ambaye si mtanzania bali msomali) ni kuwadi wa Rostam, ndiye alimwingiza mkenge Zitto ambaye wengi tulimwona akitapatapa mpaka akawa ana paste mambo ya kulazimishwa aandike wanavyotaka jamaa zake ili kuulinda ulaji wa RA.Kama Kumbu kumbu zangu ni sahihi huyu jamaa kaenda Nipashe hivi juzi tu akitokea Mwananchi na ni kawaida waandishi kuhamahama. Pia ni rafiki wa karibu sana na Hussein Bashe( kijana namba mbili wa Rostam) tangu wakiwa mwananchi na majadiliano walianza hata kabla ya kwenda nipashe. Usishangae katangaziwa dau akabaki Nipashe. Tumbi joto sasa kule Mtanzania sijui anaenda kumuondoa nani
Naona wengi mnamfahamuHAKUWA TABATA YUPO MIKOCHENI MKUU VIPI?
Uko sahihi mwana.Ni vigumu sana kumbana mwandishi wa habari ni vigumu sana hata kama unamlipa whatever ammount...
Simple sana shangazi, wambie warudie kusoma alichoandika Salva hapa.Kwani wapi hawadhulumiwi?
Fatilia New Habari (2006) Limited wahariri na mabosi wengine wote hawana mikataba hawajaelewana na mwajiri wao baada ya kuja na mbinu chafu za kutaka kuwadhulumu na kukwepa kodi. Au unafikiri huku uraiani hatupati taarifa ?
Hapana mkuu, mnaweza kununua kujua wanapanga nini cha kufanya na kuwajua wasaliti wenu. Msiache kununua, nununueni tu mjue pumba na mchele, wapi Manyerere?Dawa ni kutonuua magazeti yote ya mafisadi
Msaki ndo anatuhama Tabata! Na yule demu wake Nana Moleli anahama naye au?
Papaz ama Nyangumiz?
Jamani haya ni mambo ya kawaida Every body looks fo green pastures. au vipi.
wakuu mie simlaumu.......hata nyie mkisikia RA ana recruit nishtueni....mzee mengi na yeye anwaminya sana mishahara wafanyakazi wake....
habari njema kwa atakayeula hiyo nafasi.mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha news editor ndugu dennis msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika kuwa amekwenda kujiunga na gazeti la mtanzania la kampuni ya habari cooperation hasa baada ya kuonekana zaidi ya mara tano kwenye vikao na hussein bashe wa habari.hili ni pigo kubwa sana kwa mzee mengi .baada ya barua kufika jesse kwayu ameonekana akienda kwenye kikao cha dharura na managing director.waandishi wote hapa news room ipp wanaonyesha kutoamini kilichotokea.
Wanandugu Nimeongea na Denis Msacky ana kiri kuacha Nipashe lakini AMEKANUSHA kujiunga na Habari Coopeartion!Amenieleza amemua kuacha kazi kwa hiari yake mwenyewe bila kishawishi cha mtu yeyoyote!
Mungu wako azidi kukubariki