Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

Status
Not open for further replies.
Huyo Bashe si ndiyo yule Msomali aliyewakusanya vijana fulani wa Kinyamwezi kutoka Tabora na Nzega kuja hapa ukumbi wa Maelezo kutoa statement ya kumlaani Mengi? eti walikuwa wanawakilisha UVCCM Tabora? UVCCM Tabora waliwakanusha.

Huyu si ndiye huyo huyo Msomali anayetaka kiti cha Ubunge wa Nzega na kuanza kampenni dhidi ya Selelii eti yeye (Selelii) ni mbaguzi?

Huyu Bashe ameanza kuwa troubleshooter na righthand man wa RA na viongozi wa serikali wasipoangalia, atatokea kuwa very powerful dhidi yao!
 
tehe tehe naona mko wengi.....

......tatizo bashe au msaki kuwakimbia IPP?
 
"tehe tehe naona mko wengi.....

......tatizo bashe au msaki kuwakimbia IPP?"

_________________________

Yo Yo:

1. Daima upande wa haki, yaani ule wa halai huchota wengi.

2. Bashe hakukimbia kutoka IPP -- alitokea Mwananchi.
 
mna taarifa za uhakika why bashe alihama mwananchi to habari corp?
 
Na kama kweli Msaki anaenda New Habari, namshauri aanze ku-rehearse lugha ya wahariri wa pale -- kama vile kujifundisha kuwa ufisadi na wizi unaofanywa na wachache ndiyo neema na maisha bora kwa Watanzania, kwamba wazalendo wa nchi hii ndiyo wabaguzi wa watu weupe n.k.

Ni bora akawa-understudy Manyerere Jackton na Balile namna wanvyomwaga matusi katika kurasa za magazeti ya RA. Lakini pia ajue dharau za RA -- maana pembeni huwaita hawa watu wake kuwa ni clowns wake.
 
Huyu kaacha kazi, hajajiuzulu. Kuna tofauti kubwa.
 
Du njaa hizi zitatumaliza na vita dhidi ya ufisadi ni ngumu mno. Ngoja tusubiri atakachokuwa anaandika huko, maana atakuwa anajua siri za Mengi nyingi. Kaahidiwa dau kubwa kutoka pesa za ufisadi na kingmaker RA, na huenda keshanunuliwa jumba kubwa la kifahari mahali.

Mkuu hiyo kali, Watu wako serious katika kuwekeza
Mtu anamkono hadi kwenye Chopa Ya chadema kwani mtu wake ndio analipia
Je akipeta Chadema ikichukua nchi mtamlaumu nani ?
 
mkuu tupo pamoja mie namshauri aende habari corp.....unajua mkuu haya mambo watu wa nje wanaongea tu hawajui maisha ya bwana msacky......maisha yenyewe mafupi wakuu......

Sawia, ni lazima watu watofautishe kazi na siasa. Msaki si mwanasiasa na kama kuna tofauti kati ya mataji wawili hilo halimuhusu. Msaki si fenicha au mtaji wa IPPMedia kwamba hawezi kuondoka huko.
Leo hii tunaona kuwa wachezaji wako huru kuhamia timu yeyote wanayitaka ili mradi tu maslahi yanakuwa bora.
Tusidanganyane kabisa, yeye ana Msaki ni mwandishi kwahiyo hana sababu ya kujiingiza kwenye siasa zisizomhusu, after all wanaopinga Msaki kufanya maamuzi yake binafsi amabyo yamo ndani ya uwezo wake na kuangalia maslahi yake hawana hoja.
 
Wanaukumbi,
Hii wala msijali. Sioni cha ajabu, haya kwa Bongo ni kawaida. Kumbukeni wanasiasahasa wa upinzani, wanavyohama na vyama havifi vipo jana, leo na kesho.
Mmesahau The Comedy walivyohama toka channel 5, mbona bado inaendelea na wala haikuteteleka.
Kuna aliyedhani Tanzania itasimama hadi leo in the absence of Mwalim Nyerere. Lakini ipo jana, leo na kesho, whatever form it is, lakini ipo.
 
mawazo ya namna hii ni mawazo ya kitumwa! I'll deal with this next week. Ndio watu walio tayari kuuza utu wao kwa ajili ya njaa zao! Watu wangapi tunashida za maisha yetu ya kila siku na hatujui tutalala wapi the next day lakini hatupigi magoti kwa mafisadi kuganga njaa? Atakayesikiliza ushauri wa namna hii hatustahili!

Mwanakijiji,
Hapa huna hoja yeyote, Msaki ni mwandishi wa habari ambaye anafanya kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi yake. Hakuwepo IPPMedia kwa ajili ya maslahi ya kisiasa, la hasha anafanya kazi kwa ajili ya kujipatia kipato halali kinachotokana na kazi yake. Msaki anahiyari ya kuingia mkataba wa kazi na yeyote au kampuni yeyote ile ili mradi ataona kuwa maslahi yake yamezingatiwa. Katika hili huna hoja kwani Msaki yupo huru kufanya kazi popote ili mradi havunji sheria za nchi na hajakiuka mkataba wake wa kazi.
Wewe Mwanakijiji kama una shida zako na umeshindwa kuzitatua basi kaa chini uangalie unakosea wapi lakini huna haki ya kumsema vibaya hata kidogo mtu yeyote yule ambaye ameamua kufanya jambo ambalo liko ndani ya sheria halali.
Let me put clear, katika mingi ya posts zako umeshaweka hadharani kabisa kuwa utamwandama Rostam Azizi kwa hali yeyote ile, kwa hali hiyo (I guess wewe si wandishi wa habari isipokuwa ni mwandika makala tu) tayari umeshaonesha kuwa wewe ni bias kwa hiyo whatever unachoandika hakiwezi kukidhi matakwa ya habari inayoweza kuaminika. Kimsingi habari zako zote unazoandika haziwezi kubeba hata chembe kukubalika kama habari ya maana kwani haikidhi viwango.
Katika hali ya kawaida, I am sorry to say, unatumia muda mwingi sana kutimiza malengo ya watu binafsi wachache kwa ajili ya kupata njia ya kujikimu, kwahiyo basi sikuelewi ni kwanini unampigia kelele Msaki ambaye ni mwandishi wa habari na ambaye kwake ni kazi.
Kwa hili huna hoja, na utapiga kelele sana tu lakini utabaki palepale, huna hoja. Kuwa na shida zako wewe usifikiri basi na Msaki ana dhiki kama wewe.
Kutumiwa kwako wewe, usidhani kwamba na Msaki anatumiwa.
 
Punda, Msaki ana haki ya kuhamia chombo chochote kile cha habari. Huu msamiati wa vyombo vya mafisadi ni wake mwanakijiji, na kila mtu ana tafsiri yake. Kwa mfano kwa baadhi ya watu Mengi ni fisadi nyangumi, sasa tukienda kwa maana hiyo mtu aweza ku conclude kuwa Msaki katoka kwenye chombo cha fisadi. Lakini vile vile kwa wengine RA ni fisadi. Sasa Mwanakijiji anapokuja na maelezo ya "kuwatumikia mafisadi" inategemea na uelewa wake na hao wanao mtuma.

Tusiwe mafundi wa kupanga mpaka namna ya maisha ya watu yawe vipi kwa kisingizio cha ufisadi. Mwanakijiji aliaga hapa JF na kwenda anzisha forum yake hakuna alie mlaumu mpaka alipoona forum lake limedoda karudi kimya kimya sasa iweje leo Msaki mnamuandamana?
 
Mwanakijiji,
Hapa huna hoja yeyote, Msaki ni mwandishi wa habari ambaye anafanya kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi yake. Hakuwepo IPPMedia kwa ajili ya maslahi ya kisiasa, la hasha anafanya kazi kwa ajili ya kujipatia kipato halali kinachotokana na kazi yake. Msaki anahiyari ya kuingia mkataba wa kazi na yeyote au kampuni yeyote ile ili mradi ataona kuwa maslahi yake yamezingatiwa. Katika hili huna hoja kwani Msaki yupo huru kufanya kazi popote ili mradi havunji sheria za nchi na hajakiuka mkataba wake wa kazi.
Wewe Mwanakijiji kama una shida zako na umeshindwa kuzitatua basi kaa chini uangalie unakosea wapi lakini huna haki ya kumsema vibaya hata kidogo mtu yeyote yule ambaye ameamua kufanya jambo ambalo liko ndani ya sheria halali.
Let me put clear, katika mingi ya posts zako umeshaweka hadharani kabisa kuwa utamwandama Rostam Azizi kwa hali yeyote ile, kwa hali hiyo (I guess wewe si wandishi wa habari isipokuwa ni mwandika makala tu) tayari umeshaonesha kuwa wewe ni bias kwa hiyo whatever unachoandika hakiwezi kukidhi matakwa ya habari inayoweza kuaminika. Kimsingi habari zako zote unazoandika haziwezi kubeba hata chembe kukubalika kama habari ya maana kwani haikidhi viwango.
Katika hali ya kawaida, I am sorry to say, unatumia muda mwingi sana kutimiza malengo ya watu binafsi wachache kwa ajili ya kupata njia ya kujikimu, kwahiyo basi sikuelewi ni kwanini unampigia kelele Msaki ambaye ni mwandishi wa habari na ambaye kwake ni kazi.
Kwa hili huna hoja, na utapiga kelele sana tu lakini utabaki palepale, huna hoja. Kuwa na shida zako wewe usifikiri basi na Msaki ana dhiki kama wewe.
Kutumiwa kwako wewe, usidhani kwamba na Msaki anatumiwa.

Acha siasa zilizo shindwa na wewe! Nani asiyejua uhusiano uliojengeka hivi karibuni kati ya msaki na mafisadi? Amekwisha kuwa na vikao 4 na watu wa new Habari co. halafu unasema nini!
Cha msingi hapa ni kwamba tunaheshimu uamuzi wa mtu yeyote juu ya maisha yake na watoto wake lakini ukweli lazima usemwe, Msaki amefuata strategi plan ambayo imetengenezwa juzi na RA et al. Nacho mshauri tu ni kwamba aangalie asitumbukie kwenye shimo alilotumbukia Mtikila!!
 
Hongera sana RA kwa kushinda one of battles with RM
 
Kwani kuhama ndiyo maana yake kwamba amepewa pesa za kifisadi? Mbona wengine wengi wanahama? Lakini habari nyingine zinasema ameitwa na MKUU kabisa kwa kazi kubwa kwenye Kurugenzi ya Mawasiliano Afisi Kuu. Si mnajua huyu amesomea mpaka Uingerezani?
 
tunakuwa na papara sana ya ku-judge mambo hebu tusubiri tuone mwisho wake
 
WANA JF tuwe makini jamani!!!!!

Huyu jamaa ameacha kazi, ameenda huko anakoenda??
 
Kwa kweli nchi imetekwa na fikra mbovu na zisizo na maendeleo. If a man, who is accomplished and is well respected in his trade decide to pursue a new path...and the only response from an 'enlighted' individual like mwanakijiji is to assume ufisadi. Then we have sunk to the shallowest point. To write off a decent man who has worked very hard and diligently to gain the respect of friends and foes because he decided to quit IPP. Perhaps I was wrong about mwanakijiji afterall, is he just another poli-trick-tian?
 
Huyo Bashe si ndiyo yule Msomali aliyewakusanya vijana fulani wa Kinyamwezi kutoka Tabora na Nzega kuja hapa ukumbi wa Maelezo kutoa statement ya kumlaani Mengi? eti walikuwa wanawakilisha UVCCM Tabora? UVCCM Tabora waliwakanusha.

Huyu si ndiye huyo huyo Msomali anayetaka kiti cha Ubunge wa Nzega na kuanza kampenni dhidi ya Selelii eti yeye (Selelii) ni mbaguzi?

Huyu Bashe ameanza kuwa troubleshooter na righthand man wa RA na viongozi wa serikali wasipoangalia, atatokea kuwa very powerful dhidi yao!

Ukisikia JF inaelekea either kuwa udaku,au forum inapoteza muelekeo ndo hivi sasa,ETI VIONGOZI WA SEREKALI WATAZIDIWA NGUVU NA Bashe,hivi unafahamu serekali wewe au unaropoka tu?

Halafu huna taarifa na hujafanya uchunguzi huna sababu ya kuonyesha ujinga wako,Viajana wa tbr wamekunsanywa wao mbuzi au mizigo au mazuzu acha kutukana dignity na akili za watu,halafu unachekesha kabisa eti UVCCM TBR ILIKANUSHA hivi unafahamu muundo wa UVCCM ktk ngazi ya mkoa?or unaongea tu,walokuja hapa maelezo waliandikwa na vyombo vya habari hao walowakanusha ni kinani?nalitolea wapi matamko yao,Eti bashe ni troubleshouter wa RA,hili ni Tatizo la kwetu watanzania kutafuta majibu rahisi na kuropoka.

NOW Commenting on DENIS MSAKI,SIKWELI KUWA MSAKI ANAENDA NEW HABARI 2006 LTD,msaki anenda ktk taasisi ingine aambayo sson wanaJF mtaifahamu hamkuwa na sababu ya kujadili jambo tulisilokuwa na uhakika nalo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom