acheni visingizio alowaambia mle chips mayai yasio na baba daily nani?? kama unatwanga kama unakoboa karanga kwanini usiambiwe unaumiza?? unaanza na speed 120 kama unakimia mita 100!! eboo lazima uanze slowly mbele nyuma, kushoto kulia juu chini hunu mziki unavyokolea ndo unaongeza speed na kwenda na biti
Ha ha ha ha ha!! Wakati mwingine huwa na sisi tunaangalia wanaoridhisha... Sasa unakuta una Umbo la Kabati nani apoteze pesa Zake?
kanga za mafumbo.
Wanaume wanadharau wao sijui huwa hawajioni?,
Hahahaaaa boobookitty watakutolea mineno haoo maana wavulana wa humu wana gubu kama mawifi.
Ila mama wapo wanaume wanaojitambua na ukiwapata daah unaenjoy sana, sema wengi vimeo.
Sasa hayo masharti ndo Balaa linapoanzia, kwani wewe shida yako madoido au ukojoe?!!acheni visingizio alowaambia mle chips mayai yasio na baba daily nani?? kama unatwanga kama unakoboa karanga kwanini usiambiwe unaumiza?? unaanza na speed 120 kama unakimia mita 100!! eboo lazima uanze slowly mbele nyuma, kushoto kulia juu chini hunu mziki unavyokolea ndo unaongeza speed na kwenda na biti
Sio kidogo mkuu.Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana....
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕
Mapenzi ya kweli hayahitaji conditions, yanamea popote pale, whether one has money or not, handsome or not, an expert in love making or not, you have to adjust your way of thinking on this mater
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana....
Hehehe.
Someone did not get christmas shoes.
Sasa kama show hawezi si usimamie show wewe dada? Unamshow hadi anaona show na yeye.
Je unahongeka....??
maana unaweza kuwa unalalamikia ubahili kumbe hauna vigezo vya kuhongwa.
Aahaa! Kumbee...Kwasababu ya ya kuingizwa size nyingi tofauti tofauti na pia sababu Wanachomoa sana mimba.