Mwanaume

Mwanaume

hahaha umekutana na nyoso kapiga p na mpunga kakunyima,ila hata ni mimi nisingekupa hela mwanamke umekomaa sura hiyo p itakuaje?
 
Sasa si umtumie msg Jamaa mwenyewe??? Halafu wakati mwengine nyinyi ndio mnapelekea tushindwe show... Mtu unafuatilia show as if unafuatilia Malipo ya bima ya NIC. Mara sijui usikojoe ndani, Mara fanya kwa makini, Mara unaniumiza, Mara nimechoka, Mara unanikomoa, Mara unachelewa kukojoa ulikua kwa mchepuko, Mara Hiyo Harufu umetoa kwa mwanamke gani, Mara umechelewa wapi, Mara pokea simu ya Malaya wako!!!! Unategemea kutakua Na show hapo? Hata ule tawi Zima la Mkuyati hupigi show Kali.

Duh aiseee nimeishia kucheka tu!
 
Ha ha ha ha ha!! Wakati mwingine huwa na sisi tunaangalia wanaoridhisha... Sasa unakuta una Umbo la Kabati nani apoteze pesa Zake?

Duuh aiseee......eti umbo gani!!
 
safie sana... kuna sura za kupewa hela, ukiona mwanaume kakubania ujue hujamridhisha!!!

zidisha juhudi wenzio kuongwa vits ishakuwa kawaida

Ha ha ha ha ha!! Wakati mwingine huwa na sisi tunaangalia wanaoridhisha... Sasa unakuta una Umbo la Kabati nani apoteze pesa Zake?

Acheni dharau ninyi vijana...kama mtu mbaya ulimtongoza wa nini??
 
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕

Je unahongeka....??
maana unaweza kuwa unalalamikia ubahili kumbe hauna vigezo vya kuhongwa.
 
Nimecheka sana..
"sura ka kabati"
"sura ya baba"
"unatebea kama unarudi,kumbe unaenda"

ha ha ha ha. Na bado anataka hela!?
 
Sasa si umtumie msg Jamaa mwenyewe??? Halafu wakati mwengine nyinyi ndio mnapelekea tushindwe show... Mtu unafuatilia show as if unafuatilia Malipo ya bima ya NIC. Mara sijui usikojoe ndani, Mara fanya kwa makini, Mara unaniumiza, Mara nimechoka, Mara unanikomoa, Mara unachelewa kukojoa ulikua kwa mchepuko, Mara Hiyo Harufu umetoa kwa mwanamke gani, Mara umechelewa wapi, Mara pokea simu ya Malaya wako!!!! Unategemea kutakua Na show hapo? Hata ule tawi Zima la Mkuyati hupigi show Kali.

umemaliza umetisha mzee
 
acheni visingizio alowaambia mle chips mayai yasio na baba daily nani?? kama unatwanga kama unakoboa karanga kwanini usiambiwe unaumiza?? unaanza na speed 120 kama unakimia mita 100!! eboo lazima uanze slowly mbele nyuma, kushoto kulia juu chini hunu mziki unavyokolea ndo unaongeza speed na kwenda na biti
 
Pole sana.

Inaelekea umepigwa p bure, alaf show mbovu.. alafu na jamaa sio handsome.

Tafuta wengine, wanajiweza..
Ikiwezekana ni PM,mimi

Hapo pekundu atoto apaone loh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom