Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Hiyo namba 3 njoo kwenye makanisa ya Kilokole ujionee



Walokole wanaongoza kwa kuvaa suti za rangirangi😁
 
Au umeleft
 
Mkuu umenichekesha sana aisee😂😂.. Mimi nilikuwa nazamia enzi hizo nimemaliza cha four, yaani navizia watu wote wamesinzia mm huyo naenda kumgongea beki tatu..

Sasa siku moja bimkubwa akanifuma nipo nimebana kwenye korido akaniuliza "Unafanya nini hapa usikuhuu Big nyota??? " nikabaki nimeduwaa.😂

Ilivyofika asubuhi akanichimba biti kuwa" Ukimpa mimba housegirl ujue utamuoa" kusikia hivyo niliacha kabisa hizo mambo japokuwa housegirl alinipenda kinoma.
 
Tabia nyingine ya kiume unatakiwa uwe SUGU, NGANGALI, KAUZU..... Sio mwanaume kuchomwa sindano moja unapiga kelele😁

Nakumbuka kipindi cha shule nilikuwa kauzu balaa... Yaani hata nipigwe bakora 20 sigusi hata moja wala kutikisika!! 😂😂

Basi kuna msala ulitokea tukaitwa parade nilipokea bakora hazihesabiki lakini hata sikutoa sauti yoyote waliokuwa wakilia ni classmate zang hasa wa kike....

Nilikuwa sugu balaaa😀😀.. Waliniita MSOLID😁
 
uombe asiwe mchepukaje utafanya yote hayo unakuta hana mda na wewe ndo kwanza unampa mda wa kufanya mambo yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…