ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,851
- 36,233
1. Rangi za mavazi
Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume. Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple. Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black
2.usitamke ovyo neno nakupenda sijui I Love you. Usimwambie demu I love you sijui nini ni ujinga tu.
Usimwambie neno hilo mkeo au mwanao. Mwanaume lijali tunalisemaga hilo neno kwa matendo.
3. Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo
4. Usipige picha ovyo.
Kwenda location kama mademu ati kupiga picha ni tabia za kike mno
5. Usifanye birthday party.
Kuwa busy na ahughuli zako Mwanaume anazaliwa mara moja Birthday party ni mambo ya kike
6. Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie, Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya. Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri nmewapa
7. Chunga unavoongea,
Usiongee kwa hisia labda kupanic au kufurahi sana, Usifurahi kucheka sana mbele ya mkeo au demu. Cheka kiasi
8. Fanya mazoezi uweke mwili timamu.
Sio unakuwa na mwili nyanya hamna kifua, mwanaume kuwa mikono laini. Hakikisha unavoamka jiweke kiume piga push ups kadhaa. Ruka kamba nk
9. Usivae nguo za kubana
10. Style za nywele.
Nyoa kiume usije kunyoa kibwezi, kiduku na style zingine kivulana
11. Style ya kulala
Usilale kwa kukuja miguu au kujikunyata. Lala chali na ujitanue mtindo wa kulala unakuelezea uanaume wako
12. Usikae uchi ovyo mbele ya mkeo.
Usipende tabia ya kuwa uchi bila sababu mbele ya mkeo au demu bila sababu a kujamba ovyo
Wanaume hatuko hivyo. Usifanye hivo eti ndo uhuru kwa mpenzi wako huo ni udhaifu na ujinga
Uanaume siyo pesa ni maisha na jinsi gani una behave