Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani
Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
:biggrin1: zoote tuna uwezo wa kuzipooza tena bure "KARIBU" Desidii :biggrin1:
Yupiiiiiiiiiiiii. Na wewe nawe!Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani
Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
Mwana twaarabu huyu, mistari hiyo.Ona sasa huyu naye. Sasa tutachangia kitu gani hapa? mada haileweki. Tutakusaidia nini sasa hapa? Kama huna cha kuandika nyamaza, soma michango ya mwanakijiji.
You mean mnarepair the broken hearts?
Naam Samaritan tena unakuwa kama brand new.........................!:madgrin:
Mwana twaarabu huyu, mistari hiyo.
Hivi humu mlikuwa mnachangia nini mpaka kufika page 4? Maana nimejitahidi weee nikatoka mtupu, sijapata nini cha kushauri. Labda ubongo wangu umekosa akili, samahani lakini.