Mwanaume wewe, basi tuu...

Sidhani kama nyege na stress zinakwenda pamoja
Weweeee... acha tu ... wenzio tushapata stress za mtihani, kiasi kwamba ukiambiwa tu PENS DOWN, unazimwaga manii kwenye chupi pwaaaa....
 
Weweeee... acha tu ... wenzio tushapata stress za mtihani, kiasi kwamba ukiambiwa tu PENS DOWN, unazimwaga manii kwenye chupi pwaaaa....

Ha ha ha ha angalau nimecheka kidogo nipunguze stress
 
"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by"

Moral ya msemo huo hapo juu..,hakuna shida ya ku-revenge kama mtu amekutenda na hii ni tabia yake basi ataendelea kutenda na kutendeana na mwisho wa siku ataharibikiwa bila hata wewe kusumbuka
 
Mbona wakati mnaanza hukusema tukupe terms and conditions sasa mzungumze mpatane kimyax2
 

Asante kwa ushauri mzuri sana
 
Mnhhh, haya mambo ya aliye juu mngoje chini yashapitwa na wakati. Kisasa ni kumfuata huko huko juu. Usije ukasubiri milele
 
na wewe bhana wewe yaani kutembea na HG mara mbili tu na mdogo wako mara tano ndio uje kunitungia verse huku mtaani? Pouwa tu
 
Mnhhh, haya mambo ya aliye juu mngoje chini yashapitwa na wakati. Kisasa ni kumfuata huko huko juu. Usije ukasubiri milele

Before you embark on a journey of revenge, dig two graves..

Mambo ya visasi mara nyingi kama sio zote hayamuumizi mlengwa tu bali na mlipiza kisasi
 
Kunyamza kimya nalo ni jibu

Nilifikiri kamchezo kumbe mamito una maprobleme makubwa, please take time to think good things alizokufanyia pamoja na bad things alizokufanyia kama mema yanazidi mabaya ni wazi kateleza mpe muda wa kurudi ila kama linahusu usaliti ktk ndoa naomba utumie hekima kwani watoto wanahitaji malezi na pia kuna magonjwa hatari ya UKIMWI.
 
ukisikia hivyo ujue tayariiii.

tayari nini ???? Ataendelea Desidii bada ya muda mfupi. Stay tuned
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…