DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,952
- 11,405
"MWANAUME WANAVUNDA" cju ndio kitu gan?
Maana aloongea mtoa mada ni kweli yapo sasa vina mahusiano gani na papuchi kama sio utoto!!!Hata nami nimeshangaa
Ooooh mkuki kwa nguruwe!! Leo ndio mnajua kuna Mungu!!! Seriously!!>Mwanamke kutokujua hekima ya mungu kwanini inakuwa hivyo inaonyesha siku hizi akuna wanawake !!!!!!! Kuna manungaiyembe .kama wewe ni mwanamke uliye nasifa ya kuwa mwanamke ukimkuta kijanawa kiume ni mchafu kiivyo ungemshukuru mungu sasa unajua kwanini hayo mapungufu aliyonayo mwanaume ya uchafu yanakuonyesha nafasi ya mwanamke kwake kwa kuwa mungu ameweka hiyo gepu ili wanawake muizibe sasa mwanaume akiwa yupo vizuri kwenye kila kitu wewe msichana nafasi yako na umuhimu wako kwake utapungua mwisho jitambueni wadada .ukiona mwanaume awezi kutandika kitanda tambua hiyo ni opportunity yaani fursa kwako kuonyesha umuhimu wako hapo kuna hekima ya mungu kaweka huo upungufu ili wewe msichana uheshimiwe na huyo kijana kwa kumweka smarty
Nashangaa! Siku zote mkuki kwa nguruwe.Maana aloongea mtoa mada ni kweli yapo sasa vina mahusiano gani na papuchi kama sio utoto!!!
Hadi tumeandika kinachofanana.Ooooh mkuki kwa nguruwe!! Leo ndio mnajua kuna Mungu!!! Seriously!!
Hilo kutoka kwako sishangai hata kidogo shemeji.Tatizo sisi tukiongelea vibweka vyenu mnalalamika sana kwamba tunawaonea, kwo kuleni bati tu
Wacha we!!Ukikutana na hali kama hiyo mtoto wa kike deki, osha vyombo mpikie mtoto wa mwanamke mwenzako mle na maisha yaendelee
Wavulana wa humu wakiguswa basi utegemee matusi kumrudia mtoa mada, atashambuliwa hatari.Nashangaa! Siku zote mkuki kwa nguruwe.
Wacha tu watoe maneno machafu ila ujumbe umefika.
Ukiona mtu anakuwa mkali kama pilipili ujue kwa asilimia fulani ujumbe kaupata na umemgusa piaWavulana wa humu wakiguswa basi utegemee matusi kumrudia mtoa mada, atashambuliwa hatari.
Andaa thread uje nayo tutaipokea ila usisahau na tibaNa wanaume waongelee wanavyokutana navyo? hujaona mdada kakamilika kila kitu, ila akiachanisha miguu tu utadhani uko feri..tuacheni bana
Ikiwa utofauti ni kuwa mchafu hata siafiki aiseeMwanaume lazima ajitofautishe na mwanamke.
Kweli hili nalo ajabu la dunia, kwahiyo wanaume wanatakiwa kuwa wachafu!!!Ikiwa utofauti ni kuwa mchafu hata siafiki aisee
Ndo hapo sasa. Walio wengi huwa wanathamini muonekano wa nje tu.Kweli hili nalo ajabu la dunia, kwahiyo wanaume wanatakiwa kuwa wachafu!!!
Wewe unatakaje?Ikiwa utofauti ni kuwa mchafu hata siafiki aisee