Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Tuwatongoze kwa shda, hela tuwahonge, bado hamridhiki mnakuja kututanga huku! Tutasitisha huduma. MTUACHE!
 
Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.

Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.

Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.

Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.

Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,

Ebu badilikeni .
Utakuwa umeachika nn? Mbona unatushambulia Xana!!!
 
Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
Mmmh! Kazi kweli kweli
 
we mwanamke wewe nan kakwambia mwanaume anakua msafi tu.
mwanaume kama hajafunzwa usafi na mama yake basi atafunzwa na mke wake,kama sio mwanamke wake basi atafunzwa na rafiki zake,kama sio rafiki zake basi huyo mwanaume anatabia za kishoga.
wanaume hatuna sababu ya kutufanya tuwe wasafi ndio mana hata huku mikoan mwanaume inaweza ikapita siku hajaoga swaaafiii tu
mwanamke lazima uwe msafi kutokana na mazingira ya mwili wako ukiwa msafi mwilini na chumba au nyumba yako lazima itakua safi
 
Mkuu nahisi iliyoleta uzi ni id yako nyingine haiwezekani ushindwe kutumia akili na kuelewa kua mimi nimejibu kulingana na nyuzi zake za nyuma mpaka hii ya leo, wala sijasema kama alichoongelea hakifai au kinafaa.

Badala yake umekuja kunicrush kwa nguvu zote. No wonder had majoka mnakutana nayo kisa kuzoea zoea wanaume mwisho mkazoea jini
Hili mbona kama limewagusa sana!! Hivi kama wewe ni msafi si basi acha wachafu wapate ujumbe wao!!

Hizo nyuzi zake zingine zinahusiana nini na suala la kuwashauri muwe wasafi?
 
Hili mbona kama limewagusa sana!! Hivi kama wewe ni msafi si basi acha wachafu wapate ujumbe wao!!

Hizo nyuzi zake zingine zinahusiana nini na suala la kuwashauri muwe wasafi?
Ndiyo maana nimeacha wachafu washughulike naye kwenye hiyo mada ya uchafu mimi nikajikita kwingine.
 
Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.

Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.

Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.

Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.

Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,

Ebu badilikeni .
Mwanamke kutokujua hekima ya mungu kwanini inakuwa hivyo inaonyesha siku hizi akuna wanawake !!!!!!! Kuna manungaiyembe .kama wewe ni mwanamke uliye nasifa ya kuwa mwanamke ukimkuta kijanawa kiume ni mchafu kiivyo ungemshukuru mungu sasa unajua kwanini hayo mapungufu aliyonayo mwanaume ya uchafu yanakuonyesha nafasi ya mwanamke kwake kwa kuwa mungu ameweka hiyo gepu ili wanawake muizibe sasa mwanaume akiwa yupo vizuri kwenye kila kitu wewe msichana nafasi yako na umuhimu wako kwake utapungua mwisho jitambueni wadada .ukiona mwanaume awezi kutandika kitanda tambua hiyo ni opportunity yaani fursa kwako kuonyesha umuhimu wako hapo kuna hekima ya mungu kaweka huo upungufu ili wewe msichana uheshimiwe na huyo kijana kwa kumweka smaty
 
Back
Top Bottom