Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
 
Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.

Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.

Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.

Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.

Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,

Ebu badilikeni .

Umeoga?
 
Kwel leo umetuamlia kama bashite na gwajima
 
sema huyo uliempata ndo mchafu, sio wote.
 
Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
Paprika una huruma kweli, eti ukamshonea boxer! .......toto zuri sana wewe!
 
Nadhani huyu atakuwa Bashite.

Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.

Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.

Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.

Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.

Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,

Ebu badilikeni .
 
Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
Hapo safi kwa ulicho fanya huwenda jamaa hajui kushona.
 
Ndio umeamua uje kunihaibisha huku kuwa nina kibamia, Mara ninavunda sijui sifuagi boxer.. Sawa but soon we expert moyo sukuma damu from you
 
Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
Seriously....!!
 
Back
Top Bottom