Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana.

Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo;

1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake.

2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake.

3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake.

4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto.

5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki.

Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje mchana mwema
 
mwanaume wa ukweli kama mimi na magufuli tunapiga push up 100 kila asubuhi na jioni pia tunatumia dume!...
 
Habari wanajamii forum natumai nyie ni wazima sana
kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo
1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake
2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake
3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake
4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto
5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale.....ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki
Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje..........mchana mwema
mwanaume wa kweli ni yule anayeweza kutimiza mahitaji yooote ya mwanamke wa ukweli.
 
Namba nne ndo imenifanya mimi niishi kwa aman na maisha marefu na matamu.
 
mwanaume anapimwa kwenye mahusiano? hizi ndio akili za wanawake wanaotegemewa kuolewa na kuwekwa ndani.PUMBAVU
 
Hapo kwenye number nne sasa mmh km unawaonea kile chama chao
 
Kuna mmoja huku mkoani ni rc anajiita yeye ndiyo mwanaume mwanza nzima lakini ni mmbea kweli ana mipasho noma
 
mwanaume wa ukweli kama mimi na magufuli tunapiga push up 100 kila asubuhi na jioni pia tunatumia dume!...
hakika ww ni mwanaume wa ukweli lakini usitumie dume mwa mke wa mwenzio
Na..... Wanaume wa ukweli wamepotea kama sukari ilivopotea
ha ha ha ha evelyn salt wamekwenda wapi wanaume wa ukweli
 
hayo yote mbona yanalenga kutumia chura tu? ina maana wanaume wakweli ni watumiaji wa vyura tu? kuwa serious umetudhalilisha aisee.
huu msemo wa chura huwa unanichanganya,chura huwa mnamaanisha nn
 
Back
Top Bottom