Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana.

Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo;

1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake.

2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake.

3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake.

4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto.

5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki.

Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje mchana mwema
Dume lazima udindishie hawa ulotaja, hamna jinsi!
 
mwanaume wa kweli hatelekezi watoto wake ..
 
Chura ni tako kubwa aka kalio, uvungu, mpododo, kishung, kijambia mbali
 
Namba 5 ina maana mwanaume wa ukweli hawezi kusamehe na wala hapaswi kuomba msamaha kama ndiye mwenye makosa? Kwamba mkiachana hamuwezi kuchambua (sort out) matatizo yenu yaliyofanya muachane mkaanza upya? Si ataoa kijiji kizima?
 
Mwanaume wa ukweli ni yule anayeacha legacy duniani....nawaona kina nyerere...Hitler....mandela...newton na mao ... wapenda mapenzi ni wanaumwe wakweli kwa mabongo lala..
 
Kidume wa ukweli haangalii porno wala zeutamu
 
Back
Top Bottom