Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Mwanaume wa ukweli hafanyi hivi

Mwanaume wa ukweli akigombana na mkewe hakimbii kwenda kusema kwao (kwa mama yake)anaangalia jinsi ya kusolve tatizo .
 
Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana.

Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo;

1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake.

2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake.

3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake.

4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto.

5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki.

Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje mchana mwema
Wewe leo ndo umegundua haya uliyoandika?Mbona ni principle ya kawaida.
 
Mwanaume wa ukweli akiachana na mkewe lazima a hakika she amemtangaza kumkojoza barabara
 
Dr.Myles Munroe says the most important thing in man is work,this is different from job.U can't be fired from work.A male is valued by work,no work no value.

Work hard mengine yatafuata.
 
Back
Top Bottom