Mwanaume wa Rombo .......................

Mwanaume wa Rombo .......................

Labda huyo wa nyuma mgonjwa au mlevi hawezi kuji support
 
Katika hali ya huyu abiria, lazima Madam aagize Harambee Stars kuja kusaidia home kwenye majamboz🙂
 
mgonjwa ndio afungwe kibishi namna hiyo> huyo ni Shirima akiwa "njwiiii...".

Kwakweli mzee Shirima atakuwa yuko bwii, ona jaketi lake lilivyochafuka, lazima atakuwa kafungwa kiubishi hapo baada ya purukushani nyingi. Halafu mama yuko Kenya saa hii anatafuta mme wa kukodi.
 
Kwakweli mzee Shirima atakuwa yuko bwii, ona jaketi lake lilivyochafuka, lazima kafungwa kiubishi hapo baada ya purukushani nyingi. Halafu mama yuko Kenya saa hii anatafuta mme wa kukodi.

ahaaaa.....hapo anaenda +254 kumsaka mbaya wake aliye mchachua mama yeyooo...
 
Nasikia kuna jamaa Mwenye Bachelor degree in economics NAE in ndorobo
 
Mhhhh......neno hilo.

Mkuu hili tatizo siyo rombo tu hata moshi vijijini lipo.ukitaka kuona ukubwa wake ni hudhuria mazishi na pia nenda makanisani hakuna vijana in wazee tu.kuna pombe inaitwa London hakuna Kijana anaweza akanywa pack 3 maana vina ulevi kupindukia afu wanauza 350 tsh.
 
alipiga tungi akashindwa kujibeba akaamua kukodi boda, dereva nae akaamua kumfunga na mpira kamzigo (kiroba) wanguwangu back home. Nimeipenda hyo
 
Hapo inakuwa nini kimetokea..nduguye kaamua kwenda kumfuata kumrudisha nyumbani au mwenyewe kakodi boda?
 
Wanawake wao wenyewe wana matatizo kwanini wachukue wanaume wa Kenya kwani tz wameisha
 
Back
Top Bottom