Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 42,017 73,303 Apr 25, 2017 #3 Dah! Utafikiri ni mimi kabla ya uhuru wa Tanganyika? Hii inaitwa "hafagilwi mtu hapa"!
Jimmy George JF-Expert Member Nov 28, 2016 1,733 1,648 Apr 26, 2017 #5 Kama sikosei huyu ni kabila ambalo kwa sasa wamechukua nafasi ya wakoloni hapa nchini
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,526 70,672 Apr 26, 2017 #7 Koromije boy ame-shine kinyama
Mr wenu JF-Expert Member Apr 4, 2017 1,088 1,666 Apr 26, 2017 #8 Joseverest said: Koromije boy ame-shine kinyama Click to expand... Hahahahahaha
sir mweli JF-Expert Member Feb 8, 2017 495 573 Apr 26, 2017 #9 We unataka kuleta battle ya wamkoani na wa Dar.
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 Apr 27, 2017 #10 Jahahahahaaaa naona ana makkeup ya kibabe