....dahhh,
Kuishi maisha ya "kufurahisha/kuwakomoa" watu ni kujitafutia Msongo wa mawazo!
Wadada wa aina hiyo wapewe pole tu,
Sawa na wanaume wanaotumia nguvu nyingi ku- win penzi la mwanamke ilhali wanajijua kabisa sio wa hadhi yao.
View attachment 137131
Cc Asprin, Dark City, The Boss, Mr Rocky, Kaizer, @rr, Teamo, Eiyer, Kongosho, Fidel80 na wengineo njooni msaidie hawa !!!
Nimekuelewa sana haujawahi kukutana na hilo swala,kwa hivyo hauwezi kukubaliana na mimi.
Evelyn Salt
.....Mnh, sijui pengine ni mapenzi yaliyopitiliza, maana hilo la kujitolea mahari,.... Huyo mwanaume sasa anatudhalilisha.... Ni bora swahiba Dark City na mzee Asprin wasiusome mstari huo aisee
Aisee naishi nitakavyo mm na si watakavyo watu wengine.
Naamini itakuwa hivyo shemeji... but huku mtaani kwetu hali inasikitisha...
1. Kuna mke wa jamaa yangu anateswa, anapigwa hadi kuvuliwa nguo zote hadharani na mumewe, lakini anang'ang'ania huko kiwa sababu kila akiondoka "anaona noma" wenzake, ndugu na jamaa wanavyomsengenya kuwa "kaachika"...
2. Kuna msichana, rafiki yangu, juzi kawa engaged na mtu ambaye kwa mujibu wa huyo msichana "hafai" kisa ni kuwa shoga zake wamepiga sana majungu na kumfitinisha ili aachike, sasa kuwa komoa kaamua aruhusu engagement kabisa na harusi baadae mwaka huu
Nina mifano mingi sana ya "dada" zangu wanaogugumia mateso kwenye ndoa zao, sio kwa sababu wanawapenda hao bwana, au sio kwa sababu hawawezi kuishi peke yao, bali kwa sababu hawataki adha ya kusemekana "wameachika"
So sad...
Kwas pesa hiyo akifika tu ananunua na salon yenyewe na wangapi wanaweza toa hiyo pesa kisa nywele?:sorry:

.....Kaka yaani Story hizi zingekuwa zinamtokea Mume Mtu wachangiaji wote humu wangesema kalishwa #Limbwata !
yaani hiki kisu ni wewe tu ulivyokikamata, either Mpini au Makali...mimi hata siwalaumu hawa kinadada aisee....
kuna #Kaufundi kanawapagawaisha wahusika zaidi ya hizo sababu nje ya boksi aisee....