Mwanamke umbea,
Haya mahusiano ya show off ndo habari ya mujini, shostito wangu anayamudu sana haya makitu,
wakiamua kutoka out bill zote kwake,
Lodge kila siku lazma alipie yeye kuliko jamaa kuzama mfukoni bora zoezi liahirishwe,
Pitapita za shopping zote juu yake jamaa nae atachagua wee bill kwa mwanamuke,
Ila wadau tukiwepo anazuga na maongezi ya hivi " mpenzi naomba uninunulie sijui nini Mara nini" Lakini wapi show off tu kwa wapenzi watizamaji,
Na kwa tetesi zilizopo hadi mahari kajitolea weraaaaaaa mi pilau ntakula na ntanengua hayanihuuuuuuu.