Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Msanii hapa usanii wote kwisha!:D
ujumbe umekufikia.
hata mrusha thread UJUMBE UMEMFIKIA!hehehehehe.kakimbia
 
action speaks louder than words
Hakuna kitu.
Umeona wapi mtu kachimba kaburi la kujizikia mwenyewe??
hearsay zenu zinawakamata kweli kweli
 
wapi bwana wewe!haya endelea.
mimi narudi home nikakae na dada ako
 
na pia kama ulizaa naye inakuwa taabu goma huendelezwa anytime eti tunakumbushia jamani aagh
 
Hii inategemea sana jinsi mnavyomalizana!!!, wengine wamebikiriwa na wajomba au baba zao, hiyo inakuwa ngumu na wengine walibakwa

pia kuna ambao walitosana kiugomvi

lakini kwa kiasi kikubwa jamaa akiomba basi hupewa labda demu awe kama margaret thatcher
 
Mimi sikumuta mke wangu bikra. sasa kama wewe ndo kidume uliyembikiri ukidhani utafungua milango kila unapoona chaka jaribu uone habari yake. Umeshawahi kuona mwanaume anakwenda mwezini? just TRY usikie kwa kuona.

Hahaha! Mkwara mbuzi huo! Hebu muulize mkeo ni nani aliyembikiri kama atakuambia! Unamegewa wewe, tena kirahisi ajabu. Na kibaya zaidi mkeo ndio analipia gharama za kumegwa!
 
Najuta kuanzisha hii thread, mnahatarisha ndoa za watu nyie watu tupeane MOYO
 
Hahaha! Mpwa umevunja mbavu zangu! Nimecheka mpaka basi! Siku nyingine ukitaka kuanzisha sredi yenye kuhatarisha ndoa za watu ni-PM kwanza! Mpwa hapa umeua! LOL! Na imajini waifu wangu amekutana na lijamaa lililovunja bikra! Patakuwa hapatoshi. Ndio maana sijawahi kumuuliza manake unaweza kuta ni rafiki yako!
 
mpwaaaaaaaaaaaaaaaa!nguli alianzisha sredi akaikimbia
 
Mimi sikumuta mke wangu bikra. sasa kama wewe ndo kidume uliyembikiri ukidhani utafungua milango kila unapoona chaka jaribu uone habari yake. Umeshawahi kuona mwanaume anakwenda mwezini? just TRY usikie kwa kuona.
Mkuu huu mkwara tu, ila kwa hili huna njia kaka, wala usiumize akili yako
 
Back
Top Bottom