Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Pillaaaz! Leo tutawajua watu waliooa vitu used! SUBIRI! Leo nguli kafanikiwa kunivunjia mbavu zangu! Nacheka hapa watu wananiona kama kreze!
ha ha ha!
amesema TUPEANE MIOYO!
hahahahahahahahahahha
mambo ya thedi hendi!
zd AMEKIMBIA
 
Mkuu huu mkwara tu, ila kwa hili huna njia kaka, wala usiumize akili yako

Mpwa nakwambia leo nguli kakamata watu pabaya! Watu wanashindwa kuukubali ukweli! Hahaha! Acheni nicheke kwanza! LOL!
 
HA HA HAHAHA!
ngoja nitoke kidogo
hahahahahahahaa
mbavu zangu miimi jamani
hahahahahahah
 
ha ha ha!
amesema TUPEANE MIOYO!
hahahahahahahahahahha
mambo ya thedi hendi!
zd AMEKIMBIA

Hapo ndipo paliponifanya nicheke zaidi na zaidi! Kina bht, shishi, triplets, nyamayao,mj1 na wengineo leo mbona wamesepa? Hahaha! Mada ngumu hii?
 
MPE MOYO!:D
mwenzie ameomba APEWE MOYO NIKAMPA
Ebu wenye ndoa kwanza walist majina yao hapa
halafu wale ambao hawakuwakuta wake zao na vikombe vizima nao wawe wazi tu, tujue je ni JF members wangapi wana pressure za kupanda na kushuka
 
Hapo ndipo paliponifanya nicheke zaidi na zaidi! Kina bht, shishi, triplets, nyamayao,mj1 na wengineo leo mbona wamesepa? Hahaha! Mada ngumu hii?
Sikutaka kuongea lakini.....
Mbona nyie mpo biased sana na hii mada.Mnawafocus wanawake wakti hakuna watu used kama wanaume.kwani nyie huwa mnakuwa bikra wakati wa kufunga ndoa? au na nyie wanawake wa kwanza wana access muda wowote? Katika wanaume 10 yani ni 1 tu ndio huwa anakuwa bikra wakati wa ndoa.Nanyie mnaona halali yenu kabisaaa.
 
pasepsheni ya kale hiyo. hakuna ukweli hapo. Nani humu ameona mke aliyembikiri?

Ukisahau password unadhani unaweza kuget access? acha story za mtaani

SUBUTUUUUUUU!!!!!

hehehehehe

hahaaa nani kakuambia naweza sahau password ya K..mimi nina watu wawili niliwabikiri miaka hiyo ya ujana...today we are turning 46 ,kidume naendelea kugonga tu kma nanawaaaaaa
 
Ebu wenye ndoa kwanza walist majina yao hapa
halafu wale ambao hawakuwakuta wake zao na vikombe vizima nao wawe wazi tu, tujue je ni JF members wangapi wana pressure za kupanda na kushuka

Here I am! Ila ukweli ni kuwa presha haipandi wala kushuka kwa sababu nimeikubali hali halisi na naamini mke wangu ni mwaminifu! Thats all! Nategemea na wengine watakuwa wawazi kama mimi. Ngoja tusubiri tuone!
 
hahaaa nani kakuambia naweza sahau password ya K..mimi nina watu wawili niliwabikiri miaka hiyo ya ujana...today we are turning 46 ,kidume naendelea kugonga tu kma nanawaaaaaa

Hahahahahaaaa! Hehehehehe! Mkuu utafukuza watu kwenye hii sredi, manake unaweza kuta hao ni wake za wanaJF! LoL! Thanks Lord mke wangu hana age hiyo, kiroho kingeanza kunidunda!
 
Sikutaka kuongea lakini.....
Mbona nyie mpo biased sana na hii mada.Mnawafocus wanawake wakti hakuna watu used kama wanaume.kwani nyie huwa mnakuwa bikra wakati wa kufunga ndoa? au na nyie wanawake wa kwanza wana access muda wowote? Katika wanaume 10 yani ni 1 tu ndio huwa anakuwa bikra wakati wa ndoa.Nanyie mnaona halali yenu kabisaaa.

Haya makadirio mbona umeyakosea? wakati unahesabu wale wanaume kumi yule wa kumi na moja unakuta keshatumika tayari. Hivi wakina mama huwa pia mnapenda mwanaume ambaye hajawa used?
 
Ebu wenye ndoa kwanza walist majina yao hapa
halafu wale ambao hawakuwakuta wake zao na vikombe vizima nao wawe wazi tu, tujue je ni JF members wangapi wana pressure za kupanda na kushuka

Mkuu hakuna haja ya kuwa na pressure. Ukiujua na kuukubali huo ukweli basi utakuwa huru daima. Kwa hiyo mambo ya mkeo kumegwa au kutomega yanatakiwa kuwa kitu kidogo sana. Yasiumize roho yako. Ukiyatanguliza mbele ujue umekwama kabisa. Hata kazini hutakwenda kwa sababu jamaa wanaweza kuja home wakamega. Kwa hiyo bado nashauri kuwa inabidi tuishi kwa ile kitu niliita juzi "KANUNI YA IMANI" kama ilivyo kwa wakatoliki (i.e kuna Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Labda niongeza kuwa kuna kitu kingine kinaitwa "FUMBO LA IMANI" (wakatoliki wanalazimika kuamini kuwa, Kristo alikufa, Kristo alifufuka na Kristo atakuja tena). Mnaotaka matatizo endeleeni kufumbua hayo mafumbo.

Lakini pia tujiulize, mbona wanaume hatujiulizi mara mbili mbili linapokuja suala la kutafuta mapozea, iwe nje ya ndoa au ya mahusiano? Tuelewe tu kuwa, mkuki kwa nguruwe... na mwosha huoshwa!
 
Sikutaka kuongea lakini.....
Mbona nyie mpo biased sana na hii mada.Mnawafocus wanawake wakti hakuna watu used kama wanaume.kwani nyie huwa mnakuwa bikra wakati wa kufunga ndoa? au na nyie wanawake wa kwanza wana access muda wowote? Katika wanaume 10 yani ni 1 tu ndio huwa anakuwa bikra wakati wa ndoa.Nanyie mnaona halali yenu kabisaaa.

Kakudanganya nani? Katika kumi WOTE wanakuwa used! Labda kama ungeniambia katika 10,000 mmoja anakuwa bikra ningeweza kukulubalia japo kwa mashaka.
 
Lakini pia tujiulize, mbona wanaume hatujiulizi mara mbili mbili linapokuja suala la kutafuta mapozea, iwe nje ya ndoa au ya mahusiano? Tuelewe tu kuwa, mkuki kwa nguruwe... na mwosha huoshwa!

What goes around comes around.Mtulie basi,Kama unammega Mke wa mwenzio kwa kisingizio kuwa ulimbikiri jua na wewe wa kwako anamegwa na wale waliombikiri.
Mbaya zaidi Mnao wake,Na wale age yenu mliowabikiri mnawamega bado mnatafuta na watoto wa shule nao muwabikiri,Dah huu uchafuzi wa mazingira inabidi ujadiliwe Copenhagen.
 
Wewe aliyekubikiri akikutokea una ubavu wa kumkatalia? Hiyo ndiyo hoja!
 
Back
Top Bottom