Mwanaume wa kuzaa nae!

aya njoo kwangu mm bado sijaoa ila na ndoto za kuwa msanii mkubwa huyo mtt atakuja kunipa kiki kwenye usanii wangu pindi nikifulia kwenye mistari kama bwana simba
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Hizo kabila ulizozitaja apo ndio watiaji mimba maalufu apa nchini na wewe uzitaki au unawashwa washwa
 
Yaani siku hizi kila kitu kimerahudusgwa, hadi mbegu za kiume! Nenda kapandikiziwe kama wafanyiwavyo ng'ombe.

Vv
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.

Ukiona mtu amekuja PM kwa masharti hayo basi utapata mtu ambae mndani ya mawazo yake ni mwanamke ila umbile lake ni mwnaume
 
wew utaki mtoto bora ungesema mtu mwenye mbegu za kutosha sio kupanga sisi wengine mbegu nzur kabisa ila hatuna uzee wa miaka hiyo uliyo itaja
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Nipo tayar niyafute
 
Back
Top Bottom