Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifatazo
Mkristo
Miaka 30-45
Mgane, divorced, au single parent
Awe na uwezo makubwa kifedha
Asie mchoyo wala mbili wa hela
Mimi;
Mkristo
Mnene kidogo sana (huwezi kuniita Bonge)
Mweusi sio sana
Sina kazi ila elimu ninayo kidogo
Yeyote alie tayari come to pm for more information.
Azae haraka kabla hajazeekazaa haraka isipoteze kizazi chako, hakuna wa kukuoa
Is this a joke?
Nyani Ngabu King'asti BADILI TABIA
mtu yeye mwenyewe hata kazi hana ana demand mwanaume mwenye hela aje kumuoa?
seriously?
Is this a joke?
Nyani Ngabu King'asti BADILI TABIA
mtu yeye mwenyewe hata kazi hana ana demand mwanaume mwenye hela aje kumuoa?
seriously?
Yaani wewe ndo unaoa? Au mimi sijaelewa kichwa cha habari.