quillfeather
New Member
- Nov 30, 2014
- 4
- 1
hujielewi!
Yaani wewe ndo unaoa? Au mimi sijaelewa kichwa cha habari.
we una fedha kiasi gani? elimu gani? ni bahili au sio bahili?Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifatazo;
Mkristo
Miaka 30-45
Mgane, divorced, au single parent
Awe na uwezo makubwa kifedha
Asie mchoyo wala mbili wa hela
Mimi;
Mkristo
Mnene kidogo sana (huwezi kuniita Bonge)
Mweusi sio sana
Sina kazi ila elimu ninayo kidogo
Yeyote alie tayari come to pm for more information.